Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Kumchelewesha Lissu ni mkakati wa makusudi ili chadema wafanye vurugu, tume ipate sababu ya kumuengua Lissu kwenye kinyang'anyiro cha ugombea kwa madai kwamba amekiuka sheria na kanuni za uchaguzi kwa kusababisha vurugu

Tusubiri NEC watuambie.
 

Kwa mgombea huyu wa Sasa hata wakiwa wagombea 100 ,kura za lissu haziwezi kupungua ,JIWE lazima apigwe za USO.
 
CCM ndiyo waoga wa ushindani kutwa wanabuni mbinu za kuwahujumu kuwadhoofisha chadema
Hii ni fita muraa, kila mbinu hutumika ili kipata ushindi. Sasa kama nyie silaha yenu ni kulialia sawa.
 
Hao viongozi wa tume wanafanya jambo lisilo zuri hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…