Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Kumchelewesha Lissu ni mkakati wa makusudi ili chadema wafanye vurugu, tume ipate sababu ya kumuengua Lissu kwenye kinyang'anyiro cha ugombea kwa madai kwamba amekiuka sheria na kanuni za uchaguzi kwa kusababisha vurugu

Tusubiri NEC watuambie.
 
Screenshot_2020-08-25-15-39-54-29.png
 
Tume wanahisi yapo makubaliano ya siri kati ya Lissu na vyama vingine vya upinzani kama ACT etc kwamba Lissu akipitishwa tu na Tume basi vyama vingine visirudishe fomu.
Mfano wanahofu akianza Lissu kabla ya Membe huenda baada ya Lissu kupitishwa Membe anaweza kuahirisha kurudisha fomu.
Lengo la tume ni kuhakikisha kura za upinzani zinagawangika. Baada ya vyama kadhaa vikubwa kuteuliwa ndipo atakaporuhusiwa Lissu. Na baada ya hapo hakuna kujitoa hata sijui Membe au NCCR wakitaka kujitoa tume itakataa itasema imeshachapisha karatasi za uchaguzi, hivyo majina ya vyama vyote kama yalivyo yatatokea kwenye karatasi za kupigia kura tarehe 28 Octoba

Kwa mgombea huyu wa Sasa hata wakiwa wagombea 100 ,kura za lissu haziwezi kupungua ,JIWE lazima apigwe za USO.
 
CCM ndiyo waoga wa ushindani kutwa wanabuni mbinu za kuwahujumu kuwadhoofisha chadema
Hii ni fita muraa, kila mbinu hutumika ili kipata ushindi. Sasa kama nyie silaha yenu ni kulialia sawa.
 
Back
Top Bottom