Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Unawakilisha mkeo na watoto sio hakuna mbayaKama Membe karudisha fomu Sina shida Hata wampitishe Tundu Lisu kugombea Zanzibar Lisu hapati kura kigoma na popote walipo wapemba na waislamu Tanzania bara na visiwani hapati kura
Nyie mnaopenda comfort zone ndio mnaturudisha nyumaKhaaa my dear bado tunakupenda usitufanyie hivyo
We jamaa ficha ujinga wako basi,Sawa sawa, wenzake walikagua fomu jana. Wao wakaenda leo kukagua na kuwakilisha. Saa nyingine hata kama ni mashabiki wa Chadema tuwe tuna reason vyema. Tujiulize kwanini hawakupeleka fomu jana? Hivi leo zikiwa na shida kuna muda wa marekebisho? Tusiwe wa kulaumu tuu. Nasi tukubali muda mwingine kubeba lawama.. Hili ni kosa limefanywa na chama full stop.
Kwa kosa la kugawa ubwabwa[emoji2][emoji2][emoji119][emoji119],leo ndio leo...kumchinja kobe ni timing...Kuna mpango unasukwa. Si bure!
Nahisi kuna mgombea moja ambaye atakuwa sacrificed ili Lissu asionekane amekatwa peke yake. Machale yangu yananiambia ni Rungwe!!
Aise Kweli kabisaMkuu huyu inabidi tumkeep busy(tumtulize) aachane na siasa asitusumbue jukwaani hapa.
Anasema tuuuKhaaa my dear bado tunakupenda usitufanyie hivyo
Kwa uhuni unaoendelea leo nimethibitisha pasi na shaka dikteta anahusika na tukio la kutaka kumwua Lissu la tarehe 7/9/2017Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania
Updates
----
Tayari Mweshimiwa Tundu Lissu ambae ni mgombea urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form
UPDATE:-
Tumehifadhiwa kwenye holding room ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi hapa Dodoma kusubiri kuitwa ndani kwa ajili ya uteuzi!
UPDATE:- 9:40
Mgombea wa CCM John Pombe Magufuli hakumali nusu saa kwenye Tume na fomu zake zimepokelewa, akateuliwa na kuondoka. Sisi wengine fomu zetu zinakaguliwa tangu saa sita mchana kwa utaratibu gani wa Sheria ya Uchaguzi na Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge? Upendeleo huu wa nini?
Kwa nini asipate kura?Kama Membe karudisha fomu Sina shida Hata wampitishe Tundu Lisu kugombea Zanzibar Lisu hapati kura kigoma na popote walipo wapemba na waislamu Tanzania bara na visiwani hapati kura
Piposssssssssssssss
Piposssssssssssssss