Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

si dalili njema
Screenshot_20200825-160524.png
 
Sawa sawa, wenzake walikagua fomu jana. Wao wakaenda leo kukagua na kuwakilisha. Saa nyingine hata kama ni mashabiki wa Chadema tuwe tuna reason vyema. Tujiulize kwanini hawakupeleka fomu jana? Hivi leo zikiwa na shida kuna muda wa marekebisho? Tusiwe wa kulaumu tuu. Nasi tukubali muda mwingine kubeba lawama.. Hili ni kosa limefanywa na chama full stop.
We jamaa ficha ujinga wako basi,
 
Kuna mpango unasukwa. Si bure!

Nahisi kuna mgombea moja ambaye atakuwa sacrificed ili Lissu asionekane amekatwa peke yake. Machale yangu yananiambia ni Rungwe!!
Kwa kosa la kugawa ubwabwa[emoji2][emoji2][emoji119][emoji119],leo ndio leo...kumchinja kobe ni timing...
 
Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania

Updates
----
Tayari Mweshimiwa Tundu Lissu ambae ni mgombea urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form

UPDATE:-
Tumehifadhiwa kwenye holding room ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi hapa Dodoma kusubiri kuitwa ndani kwa ajili ya uteuzi!

UPDATE:- 9:40
Mgombea wa CCM John Pombe Magufuli hakumali nusu saa kwenye Tume na fomu zake zimepokelewa, akateuliwa na kuondoka. Sisi wengine fomu zetu zinakaguliwa tangu saa sita mchana kwa utaratibu gani wa Sheria ya Uchaguzi na Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge? Upendeleo huu wa nini?
Kwa uhuni unaoendelea leo nimethibitisha pasi na shaka dikteta anahusika na tukio la kutaka kumwua Lissu la tarehe 7/9/2017
 
Kama Membe karudisha fomu Sina shida Hata wampitishe Tundu Lisu kugombea Zanzibar Lisu hapati kura kigoma na popote walipo wapemba na waislamu Tanzania bara na visiwani hapati kura
Kwa nini asipate kura?
 
Trick iliyotumika ni kumchelewesha Lissu asirudishe mapema ili Membe asijtoe huku formu za majina na picha za wagombea zikiandaliwa.

Pia kanuni zinasema chama kikisharudisha fomu NEC ni kosa kujiondoa baada ya hapo.

ACT na CDM mkagawane kura, kijani washinde tena uchaguzi
 
Back
Top Bottom