Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania
Updates
UPDATE:- 9:40
Mgombea wa CCM John Pombe Magufuli hakumali nusu saa kwenye Tume na fomu zake zimepokelewa, akateuliwa na kuondoka. Sisi wengine fomu zetu zinakaguliwa tangu saa sita mchana kwa utaratibu gani wa Sheria ya Uchaguzi na Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge? Upendeleo huu wa nini?
Niseme tu hapa kuna tatizo, nimemsikiliza msemaji wa tme katoa maelezo mazuri na yalio nyooka, amabayo utagundua kwa CHADEMA ni mwanakitafuta mwanakulipata.
Ni hivi wagombea wote waliokuja jana kuhakiki fomu zao leo wameteleza tu.
Mbili wagombea wote walio hakiki wazamini wao kwa wasimamizi w auchaguzi wa mikoa/tume mkoa ofisi leo wamepeta tu pia.
Tatu tume lazima ipitie jina moja moja la wazamini wote na chadema imepeleka mikoa 16 na kila mkoa watu 2000 , hivi tunategema itakuwa shughuli fupi hivyo.