Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA



Niseme tu hapa kuna tatizo, nimemsikiliza msemaji wa tme katoa maelezo mazuri na yalio nyooka, amabayo utagundua kwa CHADEMA ni mwanakitafuta mwanakulipata.

Ni hivi wagombea wote waliokuja jana kuhakiki fomu zao leo wameteleza tu.
Mbili wagombea wote walio hakiki wazamini wao kwa wasimamizi w auchaguzi wa mikoa/tume mkoa ofisi leo wamepeta tu pia.
Tatu tume lazima ipitie jina moja moja la wazamini wote na chadema imepeleka mikoa 16 na kila mkoa watu 2000 , hivi tunategema itakuwa shughuli fupi hivyo.
 
HUYU MKURUGENZI WA NEC ANACHOKITAFUTA ATAKIPATA...LAZIMA DAMU IMWAGIKE LEO AMA YAKE AU YETU
Huna uwezo huo wewe ass! Msaliti Lissu anajifanya anajua sheria wakati ameshindwa process kidogo tu ya kutafuta wadhamini akikabidhiwa nchi ataweza? Alitakiwa ahakiki wadhamini wake huko kwenye majimbo yeye alikuwa anahangaika na mikutano sasa amepeleka fomu za wadhamini ambazo hazijahakikiwa kwenye majimbo sasa ndiyo wanahakiki hapo Tume wakipelea ameula wa chuya! Wanasaccos elimu yenu duni sana vitu vidogo mnashindwa sasa vikubwa mtaviweza?
 
Tume imewapasa kufanya hivyo si kwa kupenda, bali ili lipate kutimia lile neno;


Marko 10:31

Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.
Kutoka 7
3 Nami nitaufanya mgumu moyo wa Farao, nami nitazifanya kuwa nyingi ishara zangu na ajabu zangu katika nchi ya Misri.
 
Hata wskipitisha, hao wadhamini wasitegemee kukuta majina yao siku ya kupiga kura.
 
Mwanasheria nguli vipi aisee tunakesha hapa kusubiri kusikia hatma yake Kama wamemkata au la?
 
Kila mkoa wamechuwa majina 230 hivyo jumla ni 2300. Ni kwa mujibu wa maelezo ya Tundu Lissu mwenyewe kuwa fomu ya mkoa mmoja inaruhusu majina 230 tuu.
 
Naona UVCCM waliokuwa wamejificha kwenye makabati wameanza kutoka kama mijusi inatafuta jua…
 
Hakika jambo hili linafanyika si kwa mapenzi ya mwanadamu, isipokuwa kwa mapenzi ya Mola wetu, ili lile neno lake na likapate kufikia utimilifu wake wote.

Marko 10:31

Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.

[emoji120]
 
Kujifurahisha ni haki yako, na hata ikiwa nawe WAJUA kuwa, unalazimisha kujifurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…