Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Naona UVCCM waliokuwa wamejificha kwenye makabati wameanza kutoka kama mijusi inatafuta jua…
Usim batize usie mjua boss. Angalia niko hapa jamvini miaka mingapi? Fuatikia michsngo yangu kama ni ya kiLumumba. Lakini pia huwa sipendi ujinga. Tuwe wakweli, kama fomu za Lisu zitakuwa na makosa leo ina kuwaje?
Hii sio bahati na sibu. Hii ni sheria. Pole kwa mawazo mafupi.
Sija ingia hapa 30/03/2020 kama wewe.
 
Kujifurahisha ni haki yako, na hata ikiwa nawe WAJUA kuwa, unalazimisha kujifurahisha
Ngoja tuendelee kuhakiki wadhamini wenu sasa mlishindwa kuhakiki huko kwenye majimbo mlikuwa mnahangaika na mikutano tu!
 
Kwani akipata kura nyingi bila zanzibar katiba inakata kuwa rais kwenye uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi. Uwe unasoma na katiba pamoja na sheria badala ya kusema kila unachowaza.
Achana nao hawa pumba hawajielewi, huwa wanasema hapa kila siku hakuna atayempigia Lissu kura na Meko atapata 90%+ mara leo hatapata baadhi ya maeneo kama Membe amepitishwa, hawajielewi hawa!!
 
Hii ni aibu na fedheha kubwa kwa CHADEMA chama ambacho kinajinasibu kuwa ni chama kikuu cha upinzani kwa kushindwa kufuata utaratibu wa kisheria katika kutafuta wadhamini, yaani hata CHAUMA imewashinda katika hilo.

Mpaka sasa imeshaonesha wazi kuwa CHADEMA ni chama kisicho makini na viongozi wake wanafanya mambo kwa kukurupuka.

 
Aibu tena si wanasema zoezi la uhakiki linaendelea? Tusubiri zoezi likamilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…