Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Trick iliyotumika ni kumchelewesha Lissu asirudishe mapema ili Membe asijtoe huku formu za majina na picha za wagombea zikiandaliwa.

Pia kanuni zinasema chama kikisharudisha fomu NEC ni kosa kujiondoa baada ya hapo.

ACT na CDM mkagawane kura, kijani washinde tena uchaguzi
Membe huyuhuyu aliyetoka ccm kama lowassa?
 
Hii ni aibu na fedheha kubwa kwa CHADEMA chama ambacho kinajinasibu kuwa ni chama kikuu cha upinzani kwa kushindwa kufuata utaratibu wa kisheria katika kutafuta wadhamini, yaani hata CHAUMA imewashinda katika hilo.

Mpaka sasa imeshaonesha wazi kuwa CHADEMA ni chama kisicho makini na viongozi wake wanafanya mambo kwa kukurupuka.

View attachment 1547723
Fake news
 
Anarudisha last minute akidhani time watakuwa wameingwa sana bhas ataipitia kikamilifu sababu ya muda mdogo Leo Leo wapokee na Leo Leo watangaze!! Poor thinking.
Angalia ratiba NEC walimpangia saa 6:00 mpaka saa 6:15 akiwa mtu wa 10.
Cha ajabu CUF walikuwa ni wa 12 wamepitishwa.
 
lakini hata lisu akienguliwa uchaguzi wa mwaka huu hakuna shida, uchaguzi ujao wa 2025 hauko mbali atagombea
 
Niseme tu hapa kuna tatizo, nimemsikiliza msemaji wa tme katoa maelezo mazuri na yalio nyooka, amabayo utagundua kwa CHADEMA ni mwanakitafuta mwanakulipata.

Ni hivi wagombea wote waliokuja jana kuhakiki fomu zao leo wameteleza tu.
Mbili wagombea wote walio hakiki wazamini wao kwa wasimamizi w auchaguzi wa mikoa/tume mkoa ofisi leo wamepeta tu pia.
Tatu tume lazima ipitie jina moja moja la wazamini wote na chadema imepeleka mikoa 16 na kila mkoa watu 2000 , hivi tunategema itakuwa shughuli fupi hivyo.
Magufuli alihakiki Jana fomu zake?
 
Wakuu mmekuepo hapa mkituambia kuwa mtarejesha fomu za Urais leo lakini karibia kila chama kimeshatoa mgombea wa Urais ila ninyi bado mnakwama wapi?
 
Tume wanahisi yapo makubaliano ya siri kati ya Lissu na vyama vingine vya upinzani kama ACT etc kwamba Lissu akipitishwa tu na Tume basi vyama vingine visirudishe fomu.
Mfano wanahofu akianza Lissu kabla ya Membe huenda baada ya Lissu kupitishwa Membe anaweza kuahirisha kurudisha fomu.
Lengo la tume ni kuhakikisha kura za upinzani zinagawangika. Baada ya vyama kadhaa vikubwa kuteuliwa ndipo atakaporuhusiwa Lissu. Na baada ya hapo hakuna kujitoa hata sijui Membe au NCCR wakitaka kujitoa tume itakataa itasema imeshachapisha karatasi za uchaguzi, hivyo majina ya vyama vyote kama yalivyo yatatokea kwenye karatasi za kupigia kura tarehe 28 Octoba
I buy your reasoning.
 
Back
Top Bottom