Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv hawa watu wa humu unawajuaga in real life....Umejaliwaa msambwanda dah
Nlikuona sku moja pande fulani
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Siku zote, wamwisho huja kuwa wa kwanza. Lisu akiruka kiunzi hiki MUNGU anaachia Baraka zake.Tume kuchelewa kuamua hatima ya Lissu ni kuendelea kumpa umaarufu wa ziada pasipo sababu.
Huyu alipaswa asitumie hata dakika 5 hapo tume.
Wala hatuhitaji haya maelezo maana ni uzembe wakiwango cha reli ya SGR. Ina kuwa kama ni mara ya kwanza Chadema wana shiriki uchaguzi?? Ngoja wamalize uambiwe mgombea mwenza hayupo. Yatokee ya CCK au wamesahau risiti au picha zao.. Yaani Chadema mmekuja kuwa mwendo kasi kama kitoko.Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania
Updates
----
Tayari Mweshimiwa Tundu Lissu ambae ni mgombea urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form
UPDATE:-
Tumehifadhiwa kwenye holding room ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi hapa Dodoma kusubiri kuitwa ndani kwa ajili ya uteuzi!
UPDATE:- 9:40
Mgombea wa CCM John Pombe Magufuli hakumali nusu saa kwenye Tume na fomu zake zimepokelewa, akateuliwa na kuondoka. Sisi wengine fomu zetu zinakaguliwa tangu saa sita mchana kwa utaratibu gani wa Sheria ya Uchaguzi na Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge? Upendeleo huu wa nini?
10:13
Kwa ajili ya kusimamia utaratibu wa kisheria, fomu za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA mhe. Tundu Lissu hazikupita kwa Wasimamizi wa Majimbo ya uchaguzi kwa ajili ya zoezi la uhakiki. Zoezi la uhakiki ndio linaloendelea kwa sasa.
CCM na vyombo vya baadhi ya viongozi wa vyombo vya dola hawaaminiki hata kidogo. Pengine wana "buy time" muda uende na jioni ifikike, watu walipuke kwa furaha na kufanya maandamano ili waovu wafanye vitu vyao. Yasije yakajirudia yale ya yule binti mdogo Acquilina.I buy your reasoning.
Kajaza wadhamini maelfu tume haiwezi hakiki hao wadhamini maelfu ndani ya dakika kumi inataka mudaAngalia ratiba NEC walimpangia saa 6:00 mpaka saa 6:15 akiwa mtu wa 10.
Cha ajabu CUF walikuwa ni wa 12 wamepitishwa.
... mchakato umekuwa mrefu mno...hata kwenye kutangaza matokeo huenda kukachukua muda sana.Bado vyama viwili kikiwemo Chadema
Nipitie hata tale nimeweka kambiNIPO HAPA CHAUGINGI NJOMBE NANOA PANGA LANGU ......LEO LAZIMA CCM DAMU IMWAGIKE !
Looh 😁😁Tunaenda kununua mafuta ya KY, ccm mjiandae,
Msiulize tunataka kuwafanya nn
Huku ni jasho tu linatutoka kwenye vidoleDamu inamwagika kwenye keyboard
Interahamwe nyinyi...Nipitie hata tale nimeweka kambi
Tume tendeni haki, puzeeni maagizo kutoka juu, mkiruhusu huu uhuni hata familia zenu hazitapona