Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Njedengwaaaa.....Machinjioniii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe, mkeo na watumishi wa nyumbani kwako kweli mmepotea, haya bhana ila hao watumishi wako sidhani kama una uhakika wako upande wako.Tunamtaka Lissu.Lissu ni mtanzania mwenzetu na tunataka tumpigie kura.
Mie na familia yangu kura ni kwa Lissu.Watumishi wote kura ni kwa lissu
Mnampenda kujiliwaza nyie,Nasikia MaCCM yanaruka na kukanyagana, hayaamini upepo ulivobadilika. Magufuli alidhan angepita bila kupingwa. Sasa ajipange.
#twende na Lissu2020.
Hahahahah
Hichi chama dola (Ccm) ni hatari sana.Duuuh ila CCM wala roho ngumu na mbaya..
Tuwaulize Tume wanakwama wapi kupokea fomu za chademaWakuu mmekuepo hapa mkituambia kuwa mtarejesha fomu za Urais leo lakini karibia kila chama kimeshatoa mgombea wa Urais ila ninyi bado mnakwama wapi?
Hii habari ya kweli jamani?
😁😁😁Hahahahah
Ila chadema hamuishiwi vituko
Dah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1544]Tunaenda kununua mafuta ya KY, ccm mjiandae,
Msiulize tunataka kuwafanya nn
ccm ni chama cha kishetaniHichi chama dola (Ccm) ni hatari sana.