Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Kuhakiki wadhamini mbona Ni rahisi kuwafuta tu kwenye database na kusema hawawaoni? Hiii wataweza lakini wanazidi kuongeza pressure kwa raia. Siku ikifumuka tutatafutana
 
Tunamtaka Lissu.Lissu ni mtanzania mwenzetu na tunataka tumpigie kura.


Mie na familia yangu kura ni kwa Lissu.Watumishi wote kura ni kwa lissu
Wewe, mkeo na watumishi wa nyumbani kwako kweli mmepotea, haya bhana ila hao watumishi wako sidhani kama una uhakika wako upande wako.
 
IMG_1028.JPG
 
Ila tume WALICHOWAFANYIA Chadema Mungu anawaona
 
Back
Top Bottom