Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Wooowhaaaa[emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji485][emoji898][emoji112][emoji112][emoji112]
 
wazee tuambieni huko tundulissu kapitaa? maana huku hatuna umeme leo toka saa 5
 
Wandugu;

Huu ucheleweshwaji na ukiukwaji wa ratiba ya wagombea kuwasilisha fomu zao uliofanywa na NEC, hauna afya kwa mustakabali wa taifa letu na uchaguzi wenyewe.

Hivi ikatokea mgombea wa CHADEMA akashambuliwa na wale watu wanaoitwa "wasio julikana" njiani akiwa njiani anarejea kwenye maskani yake baada ya kumalizana na NEC, nani atalaumiwa?

Siombei itokee hivyo lkn nawaza tu kwa sauti!
Hivi haitaonekana kwamba NEC iliujua mpango huo na ikatumiwa na hao "wasio julikana" kuufanikisha?
Ndio, ndivyo itakavyo someka kwa sababu watakuwa wamehusika kwa maksudi kufanya mgombea huyo aondoke NEC usiku.
Ni hayo tu wandugu.
Mtatufanya nini nyie watz waoga, malofa na wapumbavu ?
 
Nani kaizuia?
Soma uelewe siyo kukurupuka tu!
Mnang'ang'ania itangaze wakati inahakiki taarifa zake, na kwa ujuha wake aliweka wazamini mil 2 wakati waliotakiwa ni elf 2. Sasa kuhakiki watu mil 2 unadhani mchezo
 
Kama hawajamtangaza, basi , watamkata.
Tnachoomba ni usalama wake kwa sasa ndicho kilichobaki!
 
Kwa ajili ya kusimamia utaratibu wa kisheria, fomu za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya @CHADEMA mhe. @Tundu Lissu hazikupita kwa Wasimamizi wa Majimbo ya uchaguzi kwa ajili ya zoezi la uhakiki. Zoezi la uhakiki ndio linaloendelea kwa sasa.
Alikua bize kuzurura mikoani fomu hapeleki kwa wasimamizi,halafu anjiita mwanasheria nguli
 
Wandugu;

Huu ucheleweshwaji na ukiukwaji wa ratiba ya wagombea kuwasilisha fomu zao uliofanywa na NEC, hauna afya kwa mustakabali wa taifa letu na uchaguzi wenyewe.

Hivi ikatokea mgombea wa CHADEMA akashambuliwa na wale watu wanaoitwa "wasio julikana" njiani akiwa njiani anarejea kwenye maskani yake baada ya kumalizana na NEC, nani atalaumiwa?

Siombei itokee hivyo lkn nawaza tu kwa sauti!
Hivi haitaonekana kwamba NEC iliujua mpango huo na ikatumiwa na hao "wasio julikana" kuufanikisha?
Ndio, ndivyo itakavyo someka kwa sababu watakuwa wamehusika kwa maksudi kufanya mgombea huyo aondoke NEC usiku.
Ni hayo tu wandugu.
Unataka yupi awe wa mwisho?! Au atoke usiku?
 
Inatakiwa tuionyeshe dunia Tz ilivyo staarabika, huyo Loketo akiitisha maandamano sijui nini wote tuuchune kimya. Dunia itatuheshimu sana.
 
Lissu bana hizi ni propoganda za chuoni wakati serikali ya wanafunzi ikiongoza mgomo, usituletee huku uswazi. What if yule mdhamini wako aliyesema anataka kujitoa kukudhamini kaomba mahakama imsaidie ili uweze kufikishwa makamani kesho? Wangekuwa watekaji wangekuvisia ofisi za tume. Wewe unaona kila mtanzania ni mjinga wa kusikiliza na kukubaliana na kila usemacho?
 
Lisu asipitishwe mpaka aweke wazi alichotumwa na mabeberu.
Hii ni Tanzania sio kenya.
 
Back
Top Bottom