Nani kaizuia?Iache tume ifanye kazi kwa uweledi, msiitishe. Mbn membe kapita fresh tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...tena ungeniita nikubebe bureeee kabisa bila bride price.Mi mwanamme wangu angekuwa Chadema leo hamna kula.
Mtatufanya nini nyie watz waoga, malofa na wapumbavu ?Wandugu;
Huu ucheleweshwaji na ukiukwaji wa ratiba ya wagombea kuwasilisha fomu zao uliofanywa na NEC, hauna afya kwa mustakabali wa taifa letu na uchaguzi wenyewe.
Hivi ikatokea mgombea wa CHADEMA akashambuliwa na wale watu wanaoitwa "wasio julikana" njiani akiwa njiani anarejea kwenye maskani yake baada ya kumalizana na NEC, nani atalaumiwa?
Siombei itokee hivyo lkn nawaza tu kwa sauti!
Hivi haitaonekana kwamba NEC iliujua mpango huo na ikatumiwa na hao "wasio julikana" kuufanikisha?
Ndio, ndivyo itakavyo someka kwa sababu watakuwa wamehusika kwa maksudi kufanya mgombea huyo aondoke NEC usiku.
Ni hayo tu wandugu.
Mnang'ang'ania itangaze wakati inahakiki taarifa zake, na kwa ujuha wake aliweka wazamini mil 2 wakati waliotakiwa ni elf 2. Sasa kuhakiki watu mil 2 unadhani mchezoNani kaizuia?
Soma uelewe siyo kukurupuka tu!
Alikua bize kuzurura mikoani fomu hapeleki kwa wasimamizi,halafu anjiita mwanasheria nguliKwa ajili ya kusimamia utaratibu wa kisheria, fomu za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya @CHADEMA mhe. @Tundu Lissu hazikupita kwa Wasimamizi wa Majimbo ya uchaguzi kwa ajili ya zoezi la uhakiki. Zoezi la uhakiki ndio linaloendelea kwa sasa.
Iache tume ifanye kazi kwa uweledi, msiitishe. Mbn membe kapita fresh tu.
Namuombea kheriHujafa hujaumbika, you're ending is very bad, mark my word.
Wanahakikiwa 200 tu kila mkoa. Hata Slaa alienda na wadhamini 1.2M lakini hazikutokea hizi sarakasiMnang'ang'ania itangaze wakati inahakiki taarifa zake, na kwa ujuha wake aliweka wazamini mil 2 wakati waliotakiwa ni elf 2. Sasa kuhakiki watu mil 2 unadhani mchezo
Unataka yupi awe wa mwisho?! Au atoke usiku?Wandugu;
Huu ucheleweshwaji na ukiukwaji wa ratiba ya wagombea kuwasilisha fomu zao uliofanywa na NEC, hauna afya kwa mustakabali wa taifa letu na uchaguzi wenyewe.
Hivi ikatokea mgombea wa CHADEMA akashambuliwa na wale watu wanaoitwa "wasio julikana" njiani akiwa njiani anarejea kwenye maskani yake baada ya kumalizana na NEC, nani atalaumiwa?
Siombei itokee hivyo lkn nawaza tu kwa sauti!
Hivi haitaonekana kwamba NEC iliujua mpango huo na ikatumiwa na hao "wasio julikana" kuufanikisha?
Ndio, ndivyo itakavyo someka kwa sababu watakuwa wamehusika kwa maksudi kufanya mgombea huyo aondoke NEC usiku.
Ni hayo tu wandugu.
Mkuu wamekata ghafla.Hata haieleweki.TBC watamwonyesha kama walivyofanya kwa mgombea wa CCM?
petrol mbali huko amwage hata mkojo aoneWeka hapa utachoma ofisi ya mkoa gani tuje kukupa support