Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
Hahaha...wewe na nani mkuu?NEC wachague moja Wampitishe Lissu au Sisi Ndio Tumpitishe ..!!
Tunawapa Dakika 30 za Kushauriana Kabra ya Kwenda kuishangaza Dunia
naona inajipendekezaLisu asipitishwe mpaka aweke wazi alichotumwa na mabeberu.
Hii ni Tanzania sio kenya.
Viongozi wa CDM watoe kauli/muongozo haraka kama wakifanya ufala waoKama hawajamtangaza, basi , watamkata.
Tnachoomba ni usalama wake kwa sasa ndicho kilichobaki!
Wewe makalio kweli .. kwaiyo ulitaka Atibiwe wapi??Lisu asipitishwe mpaka aweke wazi alichotumwa na mabeberu.
Hii ni Tanzania sio kenya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... taratibu kamanda punguza jazba.Wewe makalio kweli .. kwaiyo ulitaka Atibiwe wapi??
Hivi ccm mnatumia tope kufikiria au?
Sasa hivi wanakula na kushiba basi akili zote na utu wameweka pembeni.Hujafa hujaumbika, you're ending is very bad, mark my word.
Hiyo siyo kazi ya tume wew kilaza!Lisu asipitishwe mpaka aweke wazi alichotumwa na mabeberu.
Hii ni Tanzania sio kenya.
Tumia akili kabla ya kuandika ujinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... taratibu kamanda punguza jazba.
Amka amka acha kuota 😂😂Waonyeshe waonyeshe, ni YEYE tu. Na akiingia Ikulu wataombwa kuendelea kuonyesha CCM tu.
Mnaujua utu nyie watu? Rais aliyekata mshahara wake na kuamua kuwatumikia watanzania kwa moyo wake wote, akili zake zote na nguvu zake zote, mama yake hawezi kitandani yu mahututi, malipo yake ni matusi mitandaoni, tulieni makamanda..[emoji382][emoji382][emoji382]Sasa hivi wanakula na kushiba basi akili zote na utu wameweka pembeni.
Upumbavu wako na wa mama yako usiuhusishe na watanzania wote plsMtatufanya nini nyie watz waoga, malofa na wapumbavu ?
Wamshukuru Rungwe anayetembea na ma hot pot ya wali kuku!Hii ni kweli haiwezekani mtu toka saa 5 yupo ofisi za tume bila kuitwa
Hii inaonyesha hata kwenye utangazaji wa matokeo mambo yatapelekwa kwa mwendo huu huu.Ila tume WALICHOWAFANYIA Chadema Mungu anawaona