Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sisi hatulali hadi kieleewekeili akatwe kimya kimya tena usiku watz wakiwa wamelala
Wataunga Tena........Kwanza kwanini TBC wamekata matangazo?
Sina shaka na hilo mkuu, yaani wanampigia kampeni ya wazi na kumpa umaarufu maradufu ama kwa maksudi au kwa kutojua.Hawa nec wanakisaidia chama cha kishetani ccm!
Interahamwe Kazini.,Huyu Kaijage anataka kumuiga Jecha sio...... Sisi sio wapole kiasi hicho....
Sasaaaaa........ Baaasssss....
ni heri atende haki awe salama kuepuka laana ya hatia kama ya yule wa kinondoni mwenye damu ya aquiline inamtafuna mileleLabda Kaijage ahame nchi baada ya kukamilisha hiyo kazi anayoifanya kinyume na hapo PIR zitamhusu
Maneno matupu hayalambwi na tayari tumeshaona viashiria vya uvunjifu wa amani.
Kula nn sasa !!?Mi mwanamme wangu angekuwa Chadema leo hamna kula.
Kumbe amefanikiwa kufika bila kutekwa njiani?. Hongera zake.
Hakuna daliliWataunga Tena........
Kama atakatwa,halafu chadema wakashidwa kuleta kashkash nchini,ntawaona viazi sana[emoji2][emoji2][emoji2],yaan mbatata kabisa.leo nataka nione jeuri yenu[emoji119][emoji119].
Hapo Sawa..labda paper work zake zina wadhamini wengi fake wa kubambikiziwa na you know who...kila wakichukua jina kuhakiki unakuta number ya mpiga Kura na number haviendani...ogopa Sana system chief.. password wanazo wao na they can make you ujue hujui.Kila chama kilipangiwa ratiba yake! Iweje mgombea wa Chadema arukwe?
Kuwa mpole mkuu...... Ww kwenye kiingereza unajua keyboard tu.....Anza kwanza wewe siyo kuwaambia wenzio huku wewe ukijificha nyuma ya keyboard!
Duh!Lissu ameshakatwa. Mi si niliwaambia
Mkuu nadhani unahoja, lkn kwa bahati mbaya wewe ndiye mtanzania MPUMBAVU no.1Nyie waoga malofa na wapumbavu tu, kwani uongo?
Ingekuwa sio kweli msingevumilia kukandamizwa na maccm hadi leo hii ninapoandika hapa.