Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Kama atakatwa,halafu chadema wakashidwa kuleta kashkash nchini,ntawaona viazi sana[emoji2][emoji2][emoji2],yaan mbatata kabisa.leo nataka nione jeuri yenu[emoji119][emoji119].
Hawana hiyo jeuri aisee nimaneno tu kupitia keyboard.
 
Angekuwa kahakikiwa ratiba ingekuwa hiyo sasa loketo wenu hajahakiki so ameiongezea tume kazi ngumu, imagine majina mil 2 jamani halafu robo tatu yawe fakelo
Kwani hilo swala la kuhakikiwa ni la kikatiba/kisheria?
Kama ni ndiyo, weka hapa hiyo sheria!
 
Hapo Sawa..labda paper work zake zina wadhamini wengi fake wa kubambikiziwa na you know who...kila wakichukua jina kuhakiki unakuta number ya mpiga Kura na number haviendani...ogopa Sana system chief.. password wanazo wao na they can make you ujue hujui.
Tusubiri tuone.
 
Huna kazi za kufanya?? Nyie ndio kula kea shemeji kulala kwa mshikaji hamuoni ugumu wowote was maisha was serkal ya CCM!!! Kutwa upo kujibizana Mambo ya kijinga afuu jitu na zuviiii zako
[/QUOTE

Mzeya Mimi Nina Mke,Watoto Na Nafuga Shemeji VIJANA Wenzangu Kama Wewe,Kalaghabaho!!
 
Back
Top Bottom