Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Ndio mimi nawaza hawa lengo lao ni nini? Mbona target kama kutaka giza liingie wafanye yao? Hii si sawa, hapa pana jambo jamani.
 
Huyu Kaijage anataka kumuiga Jecha sio...... Sisi sio wapole kiasi hicho....

Sasaaaaa........ Baaasssss....
 
Hawa nec wanakisaidia chama cha kishetani ccm!
Sina shaka na hilo mkuu, yaani wanampigia kampeni ya wazi na kumpa umaarufu maradufu ama kwa maksudi au kwa kutojua.
Hofu yangu hapa ni swala la usalama wake tu baada ya giza kuingia!
 
Labda Kaijage ahame nchi baada ya kukamilisha hiyo kazi anayoifanya kinyume na hapo PIR zitamhusu
ni heri atende haki awe salama kuepuka laana ya hatia kama ya yule wa kinondoni mwenye damu ya aquiline inamtafuna milele
 
Kama atakatwa,halafu chadema wakashidwa kuleta kashkash nchini,ntawaona viazi sana[emoji2][emoji2][emoji2],yaan mbatata kabisa.leo nataka nione jeuri yenu[emoji119][emoji119].
 
wanasubiri giza liende watz walale kisha mkato ukiona kimya hadi mda huu jua jibu ni mkato tayari kutii maagizo
 
Kama atakatwa,halafu chadema wakashidwa kuleta kashkash nchini,ntawaona viazi sana[emoji2][emoji2][emoji2],yaan mbatata kabisa.leo nataka nione jeuri yenu[emoji119][emoji119].

Anza kwanza wewe siyo kuwaambia wenzio huku wewe ukijificha nyuma ya keyboard!
 
Kila chama kilipangiwa ratiba yake! Iweje mgombea wa Chadema arukwe?
Hapo Sawa..labda paper work zake zina wadhamini wengi fake wa kubambikiziwa na you know who...kila wakichukua jina kuhakiki unakuta number ya mpiga Kura na number haviendani...ogopa Sana system chief.. password wanazo wao na they can make you ujue hujui.
 
Nyie waoga malofa na wapumbavu tu, kwani uongo?

Ingekuwa sio kweli msingevumilia kukandamizwa na maccm hadi leo hii ninapoandika hapa.
Mkuu nadhani unahoja, lkn kwa bahati mbaya wewe ndiye mtanzania MPUMBAVU no.1
Unauonaje uoga wa watanzania wengine, wakati nawewe unatufokea upo nyuma ya keyboard?
USITUFOKEE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…