MimiCCMAnza kwanza wewe siyo kuwaambia wenzio huku wewe ukijificha nyuma ya keyboard!
Haya majamaa ni manafiki mnoo, hayafai hata kua Rafiki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... taratibu kamanda punguza jazba.
Hawana hiyo jeuri aisee nimaneno tu kupitia keyboard.Kama atakatwa,halafu chadema wakashidwa kuleta kashkash nchini,ntawaona viazi sana[emoji2][emoji2][emoji2],yaan mbatata kabisa.leo nataka nione jeuri yenu[emoji119][emoji119].
Kuwa mpole mkuu...... Ww kwenye kiingereza unajua keyboard tu.....
Leo ndio leo[emoji119][emoji119]Hawana hiyo jeuri aisee nimaneno tu kupitia keyboard.
Huna kazi za kufanya?? Nyie ndio kula kea shemeji kulala kwa mshikaji hamuoni ugumu wowote was maisha was serkal ya CCM!!! Kutwa upo kujibizana Mambo ya kijinga afuu jitu na zuviiii zakoInterahamwe Kazini.,
Kwani hilo swala la kuhakikiwa ni la kikatiba/kisheria?Angekuwa kahakikiwa ratiba ingekuwa hiyo sasa loketo wenu hajahakiki so ameiongezea tume kazi ngumu, imagine majina mil 2 jamani halafu robo tatu yawe fakelo
AmekatwaHawana hiyo jeuri aisee nimaneno tu kupitia keyboard.
Sawa mshikwa ma.ka.l...o wa ....Naomba munipatie wapi kwa Chadema TV.. nitaangalia?..
Musisahau
Magufuli 2020💯
Mlimpiga risasiLissu ameshakatwa. Mi si niliwaambia
Mashaka ni makubwa sana mkuu!!Ndio mimi nawaza hawa lengo lao ni nini? Mbona target kama kutaka giza liingie wafanye yao? Hii si sawa, hapa pana jambo jamani.
Fraw!Sawa sijui Kiingereza,umefurahi sasa? Imbecile!
Tusubiri tuone.Hapo Sawa..labda paper work zake zina wadhamini wengi fake wa kubambikiziwa na you know who...kila wakichukua jina kuhakiki unakuta number ya mpiga Kura na number haviendani...ogopa Sana system chief.. password wanazo wao na they can make you ujue hujui.
Huna kazi za kufanya?? Nyie ndio kula kea shemeji kulala kwa mshikaji hamuoni ugumu wowote was maisha was serkal ya CCM!!! Kutwa upo kujibizana Mambo ya kijinga afuu jitu na zuviiii zako
[/QUOTE
Mzeya Mimi Nina Mke,Watoto Na Nafuga Shemeji VIJANA Wenzangu Kama Wewe,Kalaghabaho!!
MimiCCM
Muda wao umeisha..Kwanza kwanini TBC wamekata matangazo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna dalili