Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hatutaki pongezi za kinafikiHongera zake Kama kweli Mimi kama CCM nampongeza Kama kweli
Bwa shee kwa nini Lissu anaogopeka hivi? Mbona ni mtu simple tu....jambo dogo mmelikuzaaa bila sababu za msingi...Hahahaaaa...... Furaha ya nyani huishia jangwani bwashee!
Wala haina mvuto. Kama Chadema mlishindwa kufuata maelekezo ya uhakiki wa fomu tuu mna taka kujisifu kwa lipi? /majukwaani tu hadi mnashindwa kutimiza mambo ya msingi??Ni Rasmi Sasa!
Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
Kulikuwa na hofu kubwa katika nchi kuanzia asubuhi baada ya Mgombea wa Chadema Kuwasili katika ofisi za Tume tangu asubuhi saa 5 Kama Ratiba ilivyoelekeza lakini Time haikumteua kwa wakati kwa kile walichodai bado fomu zake kuhakikiwa
Kwann unaongea uongoMoto ungewaka kama wasingempitisha.
Atapata kura laki moja?Yani nina furaha kubwa mno kuliko maelezo!
Sasa ngoja tusubiri wale walioko nje AKA wasiojulikana wana mpango gani!
Siyo siri ccm wanaenda kwa style ya ku “beep”, hawajui nyakati zishawatupa mkono.
Mungu ni mkubwa!Ni Rasmi Sasa!
Tundu Antipass Lissu mwana wa Afrika na mwanademokrasia wa kweli wa Tanzania amepitishwa rasmi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiitangazia Dunia Mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage amesema Lissu ametimiza vigezo vyote na Masharti ya kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.
Kulikuwa na hofu kubwa katika nchi kuanzia asubuhi baada ya Mgombea wa Chadema Kuwasili katika ofisi za Tume tangu asubuhi saa 5 Kama Ratiba ilivyoelekeza lakini Time haikumteua kwa wakati kwa kile walichodai bado fomu zake kuhakikiwa
Kwa kadiri muda ulivyokuwa unasogea ndivyo Watanzania walivyokuwa na hofu kwa kile walichodhani Kuna hujuma dhidi ya chaguo Lao .
Taarifa kutoka mikoa kadhaa inasema Mara baada ya kuteuliwa Shangwe za watu zimesikika kutoka sehemu kadhaa zikiwemo za starehe, masokoni na mashuleni huku kwa jiji la DSM watu kadhaa wamesikia wakipiga honi za magari barabarani Kama ishara ya kufurahia kuteuliwa Tundu Lissu ambaye anaonekana ndiye mwenye uwezekano mkubwa wa kushinda nafasi hiyo ya Urais kutokana na kuungwa mkono na Wananchi walio wengi.
Wewe ni mchawi na haki nakuapia hutowahi kufanikiwa kwenye siasa hadi unaingia kaburini!Ni bora kujipa moyo kuliko kukata tamaa.
From your heart?Hongera Tundu Lissu
Yaaani hyo ndio wanaita ukichomoa nchale na ukichomeka nchale
Sasa ni rasmi CCM WAMEKABIDHI NCHI KWA TUNDU mwana wa LISSU
Kumbe bado mtihani huko pale pale
Mungu wetu ni yule yule wa mababu zetu kama alivyoanishwa katika biblia takatifu yaani Mungu wa Musa, Ibrahimu na Yakobo . Jina lake ni kubwa kuliko jina lolote humu duniani na mbinguni... halichuji wala hali pauki...kwa maana aliyajua malengo yake hata kabla ya kumuweka katika tumbo la mama yake... ayatakayo yatatimia na hakuna binadamu awezaye kupingana naye hadi siku za dahari...Chadema wanacheza mchezo wa serikali, CCM na NEC toka siku Lisu anaingia TZ, lakini wao wanadhani kinyume chake. Kila wanachokitarajia kinakuja kinyume chake, itakwenda hivi hadi mshindi anatangazwa. Mda utaongea
Hahahaaaa.....!Asante Bwana Yesu, Allah Akhbar, Asante bwana Yesu!