Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Opera Snapshot_2020-08-25_123110_twitter.com.png
 
Iko hivi;
Mda wa lissu kurejesha fomu ilikuwa 12:00-12:15 ila ukiangalia utagundua mda umeshapita na hivyo ni wasaa wa wagombea wengine.
Hii imenipelekea kuhisi yafuatayo;
1.Lissu hajarudisha fomu makusudi kwa kuwa wameshaafikiana na ACT kusimamisha mgombea mmoja,hivyo muda wa ACT ukifika,ni lissu ndie atakaerudisha. Membe hatarudisha fomu yake makusudi ili kumpisha mwenzake,na ndio maana hizi wiki 2-3 hakuwa akijishughulisha waziwazi kama mwenye nia ya that I.

2. Labda lissu anapima upepo wa nguvu ya umma kama kunaweza kuwepo na uprising yoyote(kukinukisha=no lissu-no election).
3.ukimya wa vyombo vya chadema kama kina chadema media sio wa bure,napata shida kuamini kuwa hawatoi updates kwa makusudi,kuna jambo linapikwa jikoni na wanalijua vizuri.

4. Lengo la Lissu na washirika wake ni kuwapa wana ccm surprise ya mwaka kwa kusimamisha mgombea mmoja,maana mpaka sasa ccm hawaelewi chochote kinachoendelea huko.

NB:haya ni mawazo wangu tuu..I stand to be corrected.
 
,uwezekano ni mkubwa sana
Lakini
Na wao watafute namna
Time yap ji sa 6
Waingie ndan
Nilichogundua kuna uwezekano wa janja janja hapa zinachezwa ..then ikiwa overtime ndo hivyo..na vipo.vingi kweli kwel
 
Chama hakina hata TV yake online? Ameweza Millady Ayo inashindwa taasisi yenye mamilioni ya pesa? Mmebaki kutegemea Majukwaa ya watu.
Mm Katika Yote...Hapo Ndipo Ninapoishangaa CHADEMA.....

Chama Kikubwa Kinakuwa Km SAU kheeee!!!
 
Back
Top Bottom