Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa mubashara kupitia luninga gani bwashee?
Sasa hivi wameingia cha cha SAU sauti ya Umma wapo LIVE
Kuna jambo hapo kama alivyosema mwenyewe Lisu! Akina Shibuda wala hawakuchelewa!SAA 6::28 kimya
Chama hakina hata TV yake online? Ameweza Millady Ayo inashindwa taasisi yenye mamilioni ya pesa? Mmebaki kutegemea Majukwaa ya watu.Yaani hata updates hamna? Kwanini uliweka hili bandiko hapa?
Mna boa watu
Wamechemsha sana, wanajua kabisa kwenye vyombo vya habari hawapewi coverage, kwa nn mgombea urais asiwe anatembea na MTU was social media?Chadema wana boa
Kuna jambo hapo kama alivyosema mwenyewe Lisu! Akina Shibuda wala hawakuchelewa!
Nilichogundua kuna uwezekano wa janja janja hapa zinachezwa ..then ikiwa overtime ndo hivyo..na vipo.vingi kweli kwelHili zoezi mbona litazidi sa 10 sasa
[emoji3] [emoji16] [emoji16]Pepo wa upumbavu na ujinga toka
Hivi unadhani ule ni ugali kwamba unauvamia tu bila taratibu
Nilichogundua kuna uwezekano wa janja janja hapa zinachezwa ..then ikiwa overtime ndo hivyo..na vipo.vingi kweli kwel
Labda nae katekwaWamechemsha sana, wanajua kabisa kwenye vyombo vya habari hawapewi coverage, kwa nn mgombea urais asiwe anatembea na MTU was social media?
Ulitaka kuwe na makelele kama ya wanafunziSAA 6::28 kimya
Mm Katika Yote...Hapo Ndipo Ninapoishangaa CHADEMA.....Chama hakina hata TV yake online? Ameweza Millady Ayo inashindwa taasisi yenye mamilioni ya pesa? Mmebaki kutegemea Majukwaa ya watu.