Iko hivi;
Mda wa lissu kurejesha fomu ilikuwa 12:00-12:15 ila ukiangalia utagundua mda umeshapita na hivyo ni wasaa wa wagombea wengine.
Hii imenipelekea kuhisi yafuatayo;
1.Lissu hajarudisha fomu makusudi kwa kuwa wameshaafikiana na ACT kusimamisha mgombea mmoja,hivyo muda wa ACT ukifika,ni lissu ndie atakaerudisha. Membe hatarudisha fomu yake makusudi ili kumpisha mwenzake,na ndio maana hizi wiki 2-3 hakuwa akijishughulisha waziwazi kama mwenye nia ya that I.
2. Labda lissu anapima upepo wa nguvu ya umma kama kunaweza kuwepo na uprising yoyote(kukinukisha=no lissu-no election).
3.ukimya wa vyombo vya chadema kama kina chadema media sio wa bure,napata shida kuamini kuwa hawatoi updates kwa makusudi,kuna jambo linapikwa jikoni na wanalijua vizuri.
4. Lengo la Lissu na washirika wake ni kuwapa wana ccm surprise ya mwaka kwa kusimamisha mgombea mmoja,maana mpaka sasa ccm hawaelewi chochote kinachoendelea huko.
NB:haya ni mawazo wangu tuu..I stand to be corrected.