Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Jamani Tundu Lissu unapendwa jamani. Leo huku wenzio matumbo yalikuwa joto tunaona itakuwaje sasa! Tunashkuru Mungu kwa hatua hii kwanza. Tuwazie hiyo kesho sasa.
Lipumba na shibuda wamevuta wameahidiwa dola milion moja na tayari wamevuta dola laki nne advance kwa mujibu dalali wa mchongo huo toka CCM kwa kazi ya kumwekea Tundu lisu pingamizi, ni Aibu kubwa kwa CCM kuogopa ushindani na kesho huko mahakamaccm wamemwehidi hakimu kumpa ujaji endapo ataweza kumkomoa Tundu lisu kumweka lupango ili akiwa huko apewe sumu iliyoandaliwa na cyprian Musiba.
 
Shibuda na Lipumba wamepewa Dola laki nne advance wamuwekee pingamizi
Na wenyewe watawekewa pingamizi kwa kutoleta majina halisi ya wadhamini Toka mikoani badala yake wakayatoa kwenye kompyuta ya tume.
 
The same to u my Friend. Cheers all.
 
Kwa Jinsi huu uzi ulivyoenda tu na kwa jinsi ya feelings za watanzania walizozionesha kwenye pages mbalimbali zilizotangaza kupitishwa kwa Lissu. Nina uhakika wa asilimia 100 Tundu Antipas Lissu is our next president 2020 -2025
Hii ndiyo imewatisha NECCCM wakaogopa kukata jina kienyeji kwa njia haramu za kishetani ingawa wamebuni mbinu zingine kuwalipa watu wamuwekee pingamizi na kesho tayari polepole katumwa kumwahidi cheo Hakimu wa mahakamaccm amkomoe Tundu lisu kwa kusweka ndani kisha cyprian Musiba ataenda kuwatuma watu wampe sumu
 
Kuna taarifa kwamba kishapitishwa, je atakuwa salama usiku huu? Je, kama kweli kapitishwa wahuni wa maccm hawatamuwekea pingamizi ili aenguliwe!? Tusubiri tuone.
Relax hakuna pingamizi.
 
Reactions: BAK
Mkuu wakati unaandika haya naomba nikutaarifu ya kwamba tayari CCM INA Wabunge 18. Hii ni idadi ambayo Chadema haitarajii kuipata baada ya uchaguzi.
 
Nec wamempa tundu popularity ya bure now kila mtanzania alikuwa anasubir kwann hawamteui lissu iv inaingia akilini mtu kakutana na mamilion ya watanzania then wawe feki kwamba inabidi wahakikiwe ajabu sana
NECCCM walitaka kufanya ushetani lakini wakashituka kuona nyuzi kibao zikiwandama wakabadili gia angani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…