Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Hata Mimi naona hivyo.Sasa subiria uasi mkubwa toka chama Cha kijani na ndani ya Vyombo vya serikali kumsapoti mtu huyu.
Vyombo vingi vya dola hawapendi uonevu wanaowafanyia wapinzani hata wakitumwa kwenda kuwanyanyasa wapinzani huenda kwa shingo upande
 
Lissu anatisha, Mwenyekiti wa NEC alikuwa anachezesha vidole..wataalamu wa body language mnaitaga mini? ..mimi layman niliona hofu..
 
I know Mkuu but just go back to September 7, 2017 to look back on what has happened to him since that date. Let’s hope for the best Mkuu.
Mara nyingi unaponusurika kifo...unarudi ukiwa mtu tofauti kabisa na nguvu nyingi za ajabu .you can always become a conquerer in a very strange way
 
Reactions: BAK
Katika tukio ambalo lilivutia sana siku ya leo, na liliamsha hisia na mihemuko ya wachangiaji wengi wa JF ktk jukwaa la siasa siku ya leo, lilikuwa si lingine bali ambalo lilihusu hatma ya TAL mbele NEC ikiwa kama hatma ya nafasi yake ya kuraka kupeperusha bendera ya CDM kwa nafasi ya uraisi.

Kulikuwa na uzi wa kipekee kutoka kwa Msemaji Ukweli hapa jukwaani, ambao ulikuwa wa ni kipekee sana ktk kutuhabarisha, kutufikirisha, kutabaainisha, na pia kutujuza mambo muhimu yaliyojili ktk subira ya Watanzania juu ya hatma ya TAL dhidi ya jitihada za kutaka kuhujumu ndoto zake za kizalendo kwa taifa lake.

Nawaombenu uzi huu uendelee mpaka siku ya kesho ili tuweze kutambua "whereabouts" za TAL mpaka ifikapo asubuhi ya siku ya kesho. Tumeona habari za "tweets" zenye kuonyesha yeye kutaka kuchukuliwa kinyemela na vyombo vya dola, ijapokuwa bado ni tetesi, bado wana jukwaa wanaweza kuendelea kurefusha mijadala ili ikapate kueleweka nini ambacho kinaendelea juu yake.
 
Hongera JamiiForums kuhendo nyomi kama hii tunapishana kama sisimizi wewe LISSU hiiiiiiiii......
Jamii forum imewatisha NECCCM mpaka wakaacha ushetani wao wa awali ingawa sasa wameandaa ushetani wa pili kupitia pingamizi la Lipumba na shibuda
 
Tumuombee Mwenyezi Mungu ili asiwekewe figisu figisu na kama atashinda hiyo October 28, 2020 na kutangazwa rasmi kwamba ni Rais Mteule furaha ya Watanzania itakuwa ni kubwa sana kushinda hata ile ya December 9, 1961 ambayo mimi na wewe tulikuwa hatujatia mguu duniani.
πŸ™πŸ½

Mara nyingi unaponusurika kifo...unarudi ukiwa mtu tofauti kabisa na nguvu nyingi za ajabu .you can always become a conquerer in a very strange way
 
Seriously!? 😳😳😳😳😳😳😳😳😳

 
Shibuda na Lipumba wanahaha kuvuruga uchaguzi ni vyema watu wawasake walipo wawatembezee kichapo cha mbwa koko waache mipango haramu ya kichawi
Hawana hoja na kumuwekea pingamizi wao watakuwa wamevuta mpunga wa bure tu
 
Mkuu wakati unaandika haya naomba nikutaarifu ya kwamba tayari CCM INA Wabunge 18. Hii ni idadi ambayo Chadema haitarajii kuipata baada ya uchaguzi.

Mwanaume kabisa unayesimamisha vizuri unaweza kujisifia mgombea wako kupita bila kupingwa! Bonge la aibu, ni sawa na Yanga au Simba ijisifie kuanza na pointi 15 za bure bila kucheza, kisha ijisifie ina kikosi kikali.
 
Mara nyingi unaponusurika kifo...unarudi ukiwa mtu tofauti kabisa na nguvu nyingi za ajabu .you can always become a conquerer in a very strange way
Unapata nguvu ambazo zinavuka kipimo cha kawaida cha binadamu ikumbukwe ni watu wachache sana duniani walinusurika risasi kama zilizompata lisu ni nguvu ya Mungu pekee iliyomuokoa
 
Mwanaume kabisa unayesimamisha vizuri unaweza kujisifia mgombea wako kupita bila kupingwa! Bonge la aibu, ni sawa na Yanga au Simba ijisifie kuanza na pointi 15 za bure bila kucheza, kisha ijisifie ina kikosi kikali.
Ebu tukumbushane Mkuu. Mwaka 2015 Lowassa alishindana na nani kuwa Mgombea Urais wa Chadema? Ahahahahahahah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…