Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Kuna Divine Power behind Lissu success. Na huu ndo msingi wa mafanikio ya Lissu.

Suala tu la kupona risasi 16 ni uthibitisho tosha wa uwepo wa nguvu ya Mungu kwa Lissu!!!
Israel ni teule takatifu la MUNGU lakini ukilichokoza linakushughulikia kwa risasi bila huruma
 
Mama yangu marehemu. Na wewe wako atakufa hata siku moja. Shetani sehemu yake ni jehanamu. Roho ya kishetani kabisa. Unafurahia udhalimu kwa binadamu wenzio wakati na wewe una nyama na damu. Nimeripoti matusi yako kwa meoderator.
Kwamba wewe kuniita mimi shetani, sio kunitusi? Usipende kuanzisha usiloweza kulimaliza, kwahiyo moderator amekwambia atakusaidiaje..? We jamaa bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona jana Lissu alisema hata yeye au chadema waweza muwekea m Ccm yoyote pingamizi lkn ukisoma hapo hao wanaoweza weka pingamizi yeye na chadema hawapo maana ni mkurugenz, msajili na mwanasheria
 
Mbona jana Lissu alisema hata yeye au chadema waweza muwekea m Ccm yoyote pingamizi lkn ukisoma hapo hao wanaoweza weka pingamizi yeye na chadema hawapo maana ni mkurugenz, msajili na mwanasheria
 
Jiandaeni ki-saikolojia mimi nipo gado na kesho saa 9:00 mchana naweka pingamizi kwa nini raia wa Belgium awe kwenye sanduku la kura? Patamu hapo!
Mzee tuombe msamaha na hii hati yako nyekundu. Kama unaandika barua ya kifo bana. Au ya vita.
 
Wakuu nauliza tu jana hapa watu Pressure juu matumbo joto kujua Lissu atakatwa au hata katwa.
Nauliza sasa hatua gani nyingine itakuja itazua taharuki nyingine kama hii Pressure juu na matumbo joto ili watu wajiandae kisaikolojia kabsa
 
Ni jambo jema Lisu kupitishwa,kilichobaki ni kumpigia kura kwa wingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…