Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Kuna Divine Power behind Lissu success. Na huu ndo msingi wa mafanikio ya Lissu.

Suala tu la kupona risasi 16 ni uthibitisho tosha wa uwepo wa nguvu ya Mungu kwa Lissu!!!
Israel ni teule takatifu la MUNGU lakini ukilichokoza linakushughulikia kwa risasi bila huruma
 
Mama yangu marehemu. Na wewe wako atakufa hata siku moja. Shetani sehemu yake ni jehanamu. Roho ya kishetani kabisa. Unafurahia udhalimu kwa binadamu wenzio wakati na wewe una nyama na damu. Nimeripoti matusi yako kwa meoderator.
Kwamba wewe kuniita mimi shetani, sio kunitusi? Usipende kuanzisha usiloweza kulimaliza, kwahiyo moderator amekwambia atakusaidiaje..? We jamaa bana 😂😂😂😂
 
Tarehe 25 Agosti 2020
Dodoma, Tanzania

Urais, Fomu kuhakikiwa na Kutangazwa Kuteuliwa , kisha kusubiria kama kuna pingamizi

Baada ya fomu kuhakikiwa na kutangazwa kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa kila kitu kipo sawa kuna zoezi muhimu la kubandika majina ili umma kuwafahamu.

Muda wa pingamizi ni kuanzi saa 10:00 jioni ya tarehe 25 Agosti 2020 hadi saa 10:00 jioni siku inayofuata yaani tarehe 26 Agosti 2020.

Zoezi hilo muhimu ni hatua inayofuata ni kusikia kama wagombea wamewekewa pingamizi na wale wadau wanaotambulika na Tume ya Uchaguzi, kisha wagombea wateuliwa kupata nafasi ya kujibu.

Wenye haki ya kuweka pingamizi ngazi ya Urais na Makamu ni hawa wadau watatu yaani Mkurugenzi wa Uchaguzi, Msajili wa Vyama Vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Pingamizi ngazi ya Urais linatakiwa kuletwa kwa maandishi katika fomu namba 9A na pingamizi hilo liwakilishwe ndani ya muda muafaka unaoanzia muda uliotajwa hapo juu na sababu za pingamizi litajwe.

Hivyo waliotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ngazi ya Urais kama wateule baada ya kuhakiki fomu na nyaraka wote wanaweza kuwekewa pingamizi muda wowote kuanzia muda wa saa 10:00 jioni ya leo tarehe 25 Agosti 2020 na mwisho wa kuwakilisha pingamizi ni kesho saa 10:00 jioni tarehe 26 Agosti 2020.
Mbona jana Lissu alisema hata yeye au chadema waweza muwekea m Ccm yoyote pingamizi lkn ukisoma hapo hao wanaoweza weka pingamizi yeye na chadema hawapo maana ni mkurugenz, msajili na mwanasheria
 
Jiandaeni ki-saikolojia mimi nipo gado na kesho saa 9:00 mchana naweka pingamizi kwa nini raia wa Belgium awe kwenye sanduku la kura? Patamu hapo!
Mzee tuombe msamaha na hii hati yako nyekundu. Kama unaandika barua ya kifo bana. Au ya vita.
 
Wakuu nauliza tu jana hapa watu Pressure juu matumbo joto kujua Lissu atakatwa au hata katwa.
Nauliza sasa hatua gani nyingine itakuja itazua taharuki nyingine kama hii Pressure juu na matumbo joto ili watu wajiandae kisaikolojia kabsa
 
Ni jambo jema Lisu kupitishwa,kilichobaki ni kumpigia kura kwa wingi
 
Sura yake ndivyo ilivyo.....
Niulize, hivi kazi ya makamishina ni ipi?
Ila akiwa mbele ya jiwe inabadilika? Tunazungumzia tabasamu na sio sura asili
IMG_20200826_101835.jpg
 
Back
Top Bottom