Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Sheria mpya ya vyama vya siasa haitawapa nafasi hiyo,watakachofanya ni kama urafiki kama ilivyo kwa tlp na na ccm.
 
Unawaza kwa kutunia utumbo mpana?
 
Kama kurudisha tuu fomu hamuwezi kutii ratiba je mkipata uongozi si mtalala kabisa? Time factor ni muhimu sana kwenye maisha.
 
Tumehifadhiwa kwenye holding room ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi hapa Dodoma kusubiri kuitwa ndani kwa ajili ya uteuzi!

#TunduLissu2020 #NiYeye2020 #SasaBasi #NguvuYaUmma

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitupangia ratiba ya kuwasilisha fomu za uteuzi kati ya saa 6 na 6:15 mchana huu. Tumefika Tume tangu saa 5:45 asubuhi. Hadi sasa tunasubiri kuitwa ndani kuwasilisha fomu zetu kwa Tume. Wagombea wa CUF ambao walikuwa nyuma yetu kwenye ratiba, wao ruksa!
https://t.co/W1qN5vUz10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…