Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria mpya ya vyama vya siasa haitawapa nafasi hiyo,watakachofanya ni kama urafiki kama ilivyo kwa tlp na na ccm.Iko hivi;
Mda wa lissu kurejesha fomu ilikuwa 12:00-12:15 ila ukiangalia utagundua mda umeshapita na hivyo ni wasaa wa wagombea wengine.
Hii imenipelekea kuhisi yafuatayo;
1.Lissu hajarudisha fomu makusudi kwa kuwa wameshaafikiana na ACT kusimamisha mgombea mmoja,hivyo muda wa ACT ukifika,ni lissu ndie atakaerudisha. Membe hatarudisha fomu yake makusudi ili kumpisha mwenzake,na ndio maana hizi wiki 2-3 hakuwa akijishughulisha waziwazi kama mwenye nia ya that I.
2. Labda lissu anapima upepo wa nguvu ya umma kama kunaweza kuwepo na uprising yoyote(kukinukisha=no lissu-no election).
3.ukimya wa vyombo vya chadema kama kina chadema media sio wa bure,napata shida kuamini kuwa hawatoi updates kwa makusudi,kuna jambo linapikwa jikoni na wanalijua vizuri.
4. Lengo la Lissu na washirika wake ni kuwapa wana ccm surprise ya mwaka kwa kusimamisha mgombea mmoja,maana mpaka sasa ccm hawaelewi chochote kinachoendelea huko.
NB:haya ni mawazo wangu tuu..I stand to be corrected.
Subutu, unataka wafungiwe na TCRA
Unawaza kwa kutunia utumbo mpana?Iko hivi;

Hata huku kwetu pia wameshakata he he heBado tu hajarejesha?!
Tanesco wanasema watakata umeme kwa ajili ya matengenezo huku kwetu.
Fuatilia hapa Twitter kw atyume ya uchaguzi https://twitter.com/TumeUchaguziTZwanafuata ratiba
Kwahiyo Lisu bado?
Kama kurudisha tuu fomu hamuwezi kutii ratiba je mkipata uongozi si mtalala kabisa? Time factor ni muhimu sana kwenye maisha.Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania
Updates
----
Tayari Mweshimiwa Tundu Lissu ambae ni mgombea urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form
View attachment 1547525