Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
So wanaungana kwenye uraisi tu?? Huko majimboni mbona ACT na CDM wamerudisha form??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye matukio media zinaenda lakini habari haziruki, sijui wanachukua kuzipeleka wapi wakati sisi ndio walaji.TBC watakata matangazo
Mbona una bwabwaja sana wewe? Zoezi lilisimama na sasa limeanza tena na zamu ya Chadema bado kufikaWamechemsha sana, wanajua kabisa kwenye vyombo vya habari hawapewi coverage, kwa nn mgombea urais asiwe anatembea na MTU was social media?
Tatizo wanataka bure hawako tayari kugharimia mtu huyo kusafiri naye wanataka ajigharimie mwenyewe!!!Wamechemsha sana, wanajua kabisa kwenye vyombo vya habari hawapewi coverage, kwa nn mgombea urais asiwe anatembea na MTU was social media?
TBCAtakuwa mubashara kupitia luninga gani bwashee?
😂😂😂Labda nae katekwa
Wamechemsha sana, wanajua kabisa kwenye vyombo vya habari hawapewi coverage, kwa nn mgombea urais asiwe anatembea na MTU was social media?
Kumbe amefanikiwa kufika bila kutekwa njiani?. Hongera zake.
Kwani sasa hivi wanarusha live ?kwenye matukio media zinaenda lakini habari haziruki, sijui wanachukua kuzipeleka wapi wakati sisi ndio walaji.
Kitonga😁😁Tatizo wanataka bure hawako tayari kugharimia mtu huyo kusafiri naye wanataka ajigharimie mwenyewe!!!
Wanataka free drive!!
Maajabu ya mwaka!!So wanaungana kwenye uraisi tu?? Huko majimboni mbona ACT na CDM wamerudisha form??
KabisaTBC ni chumba cha CCM
Toooohhh😁😁😁😁Kumlipa ni shughuli, katibu tu wa chama wa mkoa dar hapati chochote, ije kuwa huyo cameraman
Kwani sasa hivi wanarusha live ?