minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
NECCCM Tumeccm wamempendelea baba yaoKwanini mgombea wa CCM awe wa kwanza kwenye ratiba na wakati huwa wanafuata aphabertical order?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NECCCM Tumeccm wamempendelea baba yaoKwanini mgombea wa CCM awe wa kwanza kwenye ratiba na wakati huwa wanafuata aphabertical order?
Tusubiri Membe arudishe fomu Tume Ina watu wenye akili za kufa mtu Membe aamue kusuka au kunyoa anarudisha fomu au harudishi? Atajijua yeye si anajiita kachero mbobezi ? Mziki huo tume imemrushia kamba
Bado Membe anaweza akawa anazunguka na kuwaambia wananchi wampe kura zake Lisu
Damu inamwagika kwenye keyboardHUYU MKURUGENZI WA NEC ANACHOKITAFUTA ATAKIPATA...LAZIMA DAMU IMWAGIKE LEO AMA YAKE AU YETU
Jaji kaijage wa NEC Akili zake kwa sasa zipo sawa na za cyprian Musiba na Le mutuz kichwani hana Ubongo tenaHii tume si Ina watu wazima kabisa mbona wanalazimisha kujivunjia heshima hv
Tume wanahisi yapo makubaliano ya siri kati ya Lissu na vyama vingine vya upinzani kama ACT etc kwamba Lissu akipitishwa tu na Tume basi vyama vingine visirudishe fomu.
Mfano wanahofu akianza Lissu kabla ya Membe huenda baada ya Lissu kupitishwa Membe anaweza kuahirisha kurudisha fomu.
Lengo la tume ni kuhakikisha kura za upinzani zinagawangika. Baada ya vyama kadhaa vikubwa kuteuliwa ndipo atakaporuhusiwa Lissu. Na baada ya hapo hakuna kujitoa hata sijui Membe au NCCR wakitaka kujitoa tume itakataa itasema imeshachapisha karatasi za uchaguzi, hivyo majina ya vyama vyote kama yalivyo yatatokea kwenye karatasi za kupigia kura tarehe 28 Octoba
Hazuiliki Lissumtamtangaza tu, NEC endeleeni kujichelesha.
Hii nchi yetu tulishalogwa ili tuje tupige maendeleo Ni mpaka tumpate kiongozi mwenye maono mapana Sana, Ila kwa ujinga huu tunaofanyq acha tuendelee kuwa maskini. Kuna Mambo yanafanyika Hadi aibu kumbe Jakaya alikuwa vizuri Sana kiunogozi kamwe usingeshuhudia huu utopolo wakutekana eti watu wasirudishe fomu.. very shame to our countryShida ni baadhi ya watanzania wenyewe kutojitambua....
Kuendelea kushabikia upumbavu unaofanywa na ccm miaka nenda miaka Rudi.
Kwa nini unasema kuwa ''amewaza mbali''? Hata kama wakirudisha wote bado kuna chances za wengine kumuunga mkono wakati wa kampeni. Au watakuwa wanavunja sheria wakimpigia kampeni?Umewaza mbali sana, wewe akili kubwa.
KabisaNECCCM Tumeccm wamempendelea baba yao
NoLissuNoElection in the social media! Hahahahahahaha!#NoLissuNoElection
Sioni dalili za Lissu kupitishwa. Uchaguzi huu tayari ni Uchaguzi haramu.
Wewe ndiyo una utoto na hopeless chadema wamefuata ratiba waliyopewa hawakujiendea huko kienyeji tu.Muda mwingine Chadema ni hopeless. Wenzao walipeleka fomu zao jana na juzi wao wakajifanya vidume.. Wakaenda leo sujui wana lalamika nini. Utoto tuu. Nimesha wachukia tayari..
mbona post ina masaa 10!?
Au ni macho yangu...
Ok subra muhimu,technique psychology...wengine walifanyiwa hivyo?