Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Tusubiri Membe arudishe fomu Tume Ina watu wenye akili za kufa mtu Membe aamue kusuka au kunyoa anarudisha fomu au harudishi? Atajijua yeye si anajiita kachero mbobezi ? Mziki huo tume imemrushia kamba

Kesharudisha, una jingine.?
 
Screenshot_2020-08-25-15-35-21-06.png
 
Kumchelewesha Lissu ni mkakati wa makusudi ili chadema wapanic na kufanya reactions, tume ipate sababu ya kumuengua Lissu kwenye kinyang'anyiro cha ugombea kwa madai kwamba amekiuka sheria na kanuni za uchaguzi kwa kusababisha vurugu.
 
Tume wanahisi yapo makubaliano ya siri kati ya Lissu na vyama vingine vya upinzani kama ACT etc kwamba Lissu akipitishwa tu na Tume basi vyama vingine visirudishe fomu.
Mfano wanahofu akianza Lissu kabla ya Membe huenda baada ya Lissu kupitishwa Membe anaweza kuahirisha kurudisha fomu.
Lengo la tume ni kuhakikisha kura za upinzani zinagawangika. Baada ya vyama kadhaa vikubwa kuteuliwa ndipo atakaporuhusiwa Lissu. Na baada ya hapo hakuna kujitoa hata sijui Membe au NCCR wakitaka kujitoa tume itakataa itasema imeshachapisha karatasi za uchaguzi, hivyo majina ya vyama vyote kama yalivyo yatatokea kwenye karatasi za kupigia kura tarehe 28 Octoba

Siyo lazima ajitoe kwa tume anaweza kujitoa kwenye kufanya kampeni mikutano yake ikawa inamnadi mgombea wa CDM mbona simple hakuna namna ya kuzuia hilo
 
Kutoka Chama Cha Mapinduzi mpaka kimefikia kuwa ni Chama Cha Maharamia.
tapatalk_jpeg_1521037927414~2.jpeg
 

Attachments

  • tapatalk_jpeg_1521037927414~2.jpeg
    tapatalk_jpeg_1521037927414~2.jpeg
    18.8 KB · Views: 1
Shida ni baadhi ya watanzania wenyewe kutojitambua....

Kuendelea kushabikia upumbavu unaofanywa na ccm miaka nenda miaka Rudi.
Hii nchi yetu tulishalogwa ili tuje tupige maendeleo Ni mpaka tumpate kiongozi mwenye maono mapana Sana, Ila kwa ujinga huu tunaofanyq acha tuendelee kuwa maskini. Kuna Mambo yanafanyika Hadi aibu kumbe Jakaya alikuwa vizuri Sana kiunogozi kamwe usingeshuhudia huu utopolo wakutekana eti watu wasirudishe fomu.. very shame to our country
 
Muda mwingine Chadema ni hopeless. Wenzao walipeleka fomu zao jana na juzi wao wakajifanya vidume.. Wakaenda leo sujui wana lalamika nini. Utoto tuu. Nimesha wachukia tayari..
Wewe ndiyo una utoto na hopeless chadema wamefuata ratiba waliyopewa hawakujiendea huko kienyeji tu.
 
Back
Top Bottom