Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania

Updates
----
Tayari Mweshimiwa Tundu Lissu ambae ni mgombea urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form

UPDATE:-
Tumehifadhiwa kwenye holding room ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi hapa Dodoma kusubiri kuitwa ndani kwa ajili ya uteuzi!

UPDATE:- 9:40
Mgombea wa CCM John Pombe Magufuli hakumali nusu saa kwenye Tume na fomu zake zimepokelewa, akateuliwa na kuondoka. Sisi wengine fomu zetu zinakaguliwa tangu saa sita mchana kwa utaratibu gani wa Sheria ya Uchaguzi na Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge? Upendeleo huu wa nini?
Inasikitisha sana. Hata hivyo Mungu atakusimamia. Tuko pamoja nawe.
 
Mgombea wa CCM John Pombe Magufuli hakumali nusu saa kwenye Tume na fomu zake zimepokelewa, akateuliwa na kuondoka. Sisi wengine fomu zetu zinakaguliwa tangu saa sita mchana kwa utaratibu gani wa Sheria ya Uchaguzi na Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge? Upendeleo huu wa nini?
wasiwasi wenu nini...si mmejaza fomu zenu vizuri? Juzi mlisema mnatakiwa kuleta wadhamini wasiopungua mia mbili na idadi ya wadhamini haina kikomo. Kwa hiyo, yawezekana Tume wamefikiria mmeleta lundo la idadi ya wadhamini, basi wakaona labda muwe wa mwisho ili msicheleweshe wengine. Subirini tu mtaitwa!
 
Naamini hakuna atakaekatwa hapo, hiyo tume inatakiwa kuwa kama mlezi wa vyama vya siasa, hawatakiwi kupendelea chochote.
 
wasiwasi wenu nini...si mmejaza fomu zenu vizuri? Juzi mlisema mnatakiwa kuleta wadhamini wasiopungua mia mbili na idadi ya wadhamini haina kikomo. Kwa hiyo, yawezekana Tume wamefikiria mmeleta lundo la idadi ya wadhamini, basi wakaona labda muwe wa mwisho ili msicheleweshe wengine. Subirini tu mtaitwa!
Mbona povu mkuu alafu inaonesha umeandika huku unatetemeka😒😒
 
Inavyosemekana wadhamini ndyo wanahakikishwa hivi sasa. Sasa sijui kama watamaliza wote kuwahakiki Leo
 
Pengine wanachunguza idadi ya wadhamini isije zikawepo za mabeberu [emoji51]
 
Afisa wa Tume anayehusika na habari na Mawasiliano, punde ametoa ufafanuzi kumtu Kupitia TBC1 kuhusu wagombea waliowaiting room kuwa, kuchelewa kwa baadhi ya wagombea kuingia chumba maalum cha uteuzi/kupokelewa fomu zao kunatokana na zoezi la uhakiki wa fomu zenyewe na uhakiki wa wadhamini. Tume ni lazima ijiridhishe kama waliomdhamini mgombea ni kweli kuwa ni wapiga kura. Na mambo mengine

Kwa wale waliopeleka kabla majina hayo kukaguliwa ktk ngazi ya Jimbo au kupelekea tume kabla, zoezi hili kwao ni la haraka zaidi, ila kama hukuwa umepeleka majina hayo kabla, basi itabidi uwe mpole kidogo kujiridhisha.

Pia ameeleza kuwa, wagombea wote ambao wamefika kituoni hapo kabla ya saa 10 watasikilizwa hadi waishe, isipokuwa kama mtu atafika baada ya saa 10. Kwa hiyo wale walio na wasiwasi kuhusu wagombea wa vyama vyao hasa CHADEMA, bila shaka wote watapata hiyo fursa ya kusikilizwa na Kkwasilosha fomu zao za uteuzi na baadae kuteuliwa kama wamekidhi vigezo vyote kwa kadri ya taratibu walizopewa. Wandugu tuwe na subira.

Tuzidi iombea tume Mungu awajaalie wafanye kazi kwa weledi, kwa kuzingatia maadili, sheria na taratibu, Uwazi na kutenda haki

#maendeleo hayana chama

TUWAULIZE CHADEMA, KWANINI HAWAKU HAKIKI FOMU JUZI AU JANA?? LEO MNA PIGA KELELE TUU. SASA ZIKIWA NA MAKOSA MNA REKEBISHA SAA NGAPI??
 
Inavyosemekana wadhamini ndyo wanahakikishwa hivi sasa. Sasa sijui kama watamaliza wote kuwahakiki Leo
Nilieleza awali kuwa Lissu na jopo lake wana uwezo wa kutiliwa mashaka juu ya namna ya kufanya 'situaton analyisis'! Wao, Lissu, walitishia kuleta lundo la wadhamini bila kujua hilo lingewagharimu muda!
 
Afisa wa Tume anayehusika na habari na Mawasiliano, punde ametoa ufafanuzi kumtu Kupitia TBC1 kuhusu wagombea waliowaiting room kuwa, kuchelewa kwa baadhi ya wagombea kuingia chumba maalum cha uteuzi/kupokelewa fomu zao kunatokana na zoezi la uhakiki wa fomu zenyewe na uhakiki wa wadhamini. Tume ni lazima ijiridhishe kama waliomdhamini mgombea ni kweli kuwa ni wapiga kura. Na mambo mengine

Kwa wale waliopeleka kabla majina hayo kukaguliwa ktk ngazi ya Jimbo au kupelekea tume kabla, zoezi hili kwao ni la haraka zaidi, ila kama hukuwa umepeleka majina hayo kabla, basi itabidi uwe mpole kidogo kujiridhisha.

Pia ameeleza kuwa, wagombea wote ambao wamefika kituoni hapo kabla ya saa 10 watasikilizwa hadi waishe, isipokuwa kama mtu atafika baada ya saa 10. Kwa hiyo wale walio na wasiwasi kuhusu wagombea wa vyama vyao hasa CHADEMA, bila shaka wote watapata hiyo fursa ya kusikilizwa na Kkwasilosha fomu zao za uteuzi na baadae kuteuliwa kama wamekidhi vigezo vyote kwa kadri ya taratibu walizopewa. Wandugu tuwe na subira.

Tuzidi iombea tume Mungu awajaalie wafanye kazi kwa weledi, kwa kuzingatia maadili, sheria na taratibu, Uwazi na kutenda haki

#maendeleo hayana chama

TUWAULIZE CHADEMA, KWANINI HAWAKU HAKIKI FOMU JUZI AU JANA?? LEO MNA PIGA KELELE TUU. SASA ZIKIWA NA MAKOSA MNA REKEBISHA SAA NGAPI??
Naona UVCCM waliokuwa wamejificha kwenye makabati wameanza kutoka kama mijusi inatafuta jua…
 
Back
Top Bottom