Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Hii taarifa sio sahihi
Endelea kusubiri source Mimi mwenyewe ni ofisi za Tume Idodomya ebo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii taarifa sio sahihi
Kwani wewe unaponyooshwa huwa hulii lii......????
Ule wa molemo ulifika page ya 6!Uzi ukiachwa uendelee tambueni maana yake
Jipe matumainiila ccm wana hila sana,wamehakikisha wanaleta tension kubwa kwa TL huku ngaz ya chini wanafyeka wabunge na madiwani,walijua tu watu wata concentrate Dodoma..huk walala mlango wazi[emoji20]
uteuzi bado lakini ATATEULIWA TU HAKUNA NAMNA!Tume ya uchaguzi imepitisha jina la Lissu kugombea nafasi ya uRais wa JMT
Kilichobaki nikutimiza wajibu wangu kumpigia kura Mh Tundu Lissu siku ya tar 28/10, Mungu aendelee kumlinda haswa tunapoelekea kwenye kipindi cha kampeniTume ya uchaguzi imepitisha jina la Lissu kugombea nafasi ya uRais wa JMT
Sina shaka na taarifa yakoEndelea kusubiri source Mimi mwenyewe ni ofisi za Tume Idodomya ebo
Ule wa molemo ulifika page ya 6!
Endelea kuwadanganya wapuuzi wenzieDuh nimefurahi balaa
Chadema msindikizi mpaka afike kwake wanapanga kumkamata Kuna magari ya TISS na police nje ya jengo la tume ya uchaguzi.
Jiwe ajiandae kuondoka Ikulu...
Kashindikiza akatwe system ya nchi imemgomea ngoja sasa aone mziki wake kuelekea October.
Hahahahah chadema mtaisha lini vitukoView attachment 1547863na sniper wao alikuwa amejiandaa kumtulinga Lisu.
Jiandaeni ki-saikolojia mimi nipo gado na kesho saa 9:00 mchana naweka pingamizi kwa nini raia wa Belgium awe kwenye sanduku la kura? Patamu hapo!..hii habari imethibitishwa na nani?