Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kitu kama hichoMaandishi yako yamenifanya nimuone Wema Sepetu kwa imagination yangu tena akiwa chakari na kvant kichwani! [emoji23]
No offense Chief!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu kama hichoMaandishi yako yamenifanya nimuone Wema Sepetu kwa imagination yangu tena akiwa chakari na kvant kichwani! [emoji23]
No offense Chief!
Ameliwa kichwa!
Nacheka ila naogopa
Kwani uongo?Unaweza kuta na wewe kabisa una familia na inakuita kabisa baba ficha ujinga wako
Miiko ya Maadili!
Mimi nachoomba mheshimiwa Lissu anyoe nywele zake zifananane na utamaduni wa nchi yetu! The way alivyonyoa haimpi status kimaadili kama anaweza kuwa Rais wa nchi yetu!
Wallah Leo sirudi home, nalala nje kwa raha! Potelea mbali, sio kwa raha hizi, nyenyenyenheeeee sshenzy kabisa!Baada ya tamko la katibu, Mwenyekiti amesema tume ya Taifa ya uchaguzi baada ya kujiridhisha kuwa kiti cha Rais na Makamu wa Rais waliopendekezwa na CHADEMA wametimiza masharti tume imewateua ndugu Lissu, Antipas kuwa mgombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na ndugu Mwalimu, Salum kuwa mgombea wa makamu wa kiti cha Urais wa Tanzania.
Hapana kapitaHv ni kwel kakatwa?
Endeleeni kuota tuTundu kama Tundu, Toto Tundu, Toto Tukutu...sixteen bullets In and Out of the body but still rolling like a desert stone...piiiiiipoooooooooooooz!!!!!!
huwez kuzuia mama wa mimba ya miez tisa asizae...muda ni ukuta....and to you jiwe[emoji117]....Mene mene tekeli na peres
Umkhonto we Sizwe...Mkuki wa Taifa...aluta continue....piiiiiiiiiiiipoooooooooooooooooooz!!!
Safi saana aisee! InapendezaNimeona kweli na TBC wamejitahidi kumuonyesha live wakati anapitishwa
Inavyosemwaa...
Walikuwa wanasubiri usiku ufike waweze kumteka na kumpokonya hizo fomu.
Subirini
Magufuli wakati anaanza kushika madaraka ya urais alikuwa anafuga ndevu na kuziacha kama ndanda Kosovo baada ya muda akaacha.Miiko ya Maadili!
Mimi nachoomba mheshimiwa Lissu anyoe nywele zake zifananane na utamaduni wa nchi yetu! The way alivyonyoa haimpi status kimaadili kama anaweza kuwa Rais wa nchi yetu!
NECCCM Tumeccm walikuwa wanataka kufanya ushetani lakini wamepigiwa kelele mitandaoni mpaka wakaona AibuKwa hali hii akishinda hakuna mazingira rafiki yoyote ya yeye kutangazwa, image halisi imejionesha leo.
Shibuda na Lipumba wamepewa Dola laki nne advance wamuwekee pingamiziKuna taarifa kwamba kishapitishwa, je atakuwa salama usiku huu? Je, kama kweli kapitishwa wahuni wa maccm hawatamuwekea pingamizi ili aenguliwe!? Tusubiri tuone.
Haya Sasa wanachadema msimuangushe mgombea wenu, maana mlikuwa na woga kuwa jina lake litakatwa na NEC, Nendeni mfundisheni namna ya kuwasilisha hoja zake.Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania
Updates
----
Tayari Mweshimiwa Tundu Lissu ambae ni mgombea urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form
UPDATE:-
Tumehifadhiwa kwenye holding room ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi hapa Dodoma kusubiri kuitwa ndani kwa ajili ya uteuzi!
UPDATE:- 9:40
Mgombea wa CCM John Pombe Magufuli hakumali nusu saa kwenye Tume na fomu zake zimepokelewa, akateuliwa na kuondoka. Sisi wengine fomu zetu zinakaguliwa tangu saa sita mchana kwa utaratibu gani wa Sheria ya Uchaguzi na Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge? Upendeleo huu wa nini?
10:13
Kwa ajili ya kusimamia utaratibu wa kisheria, fomu za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA mhe. Tundu Lissu hazikupita kwa Wasimamizi wa Majimbo ya uchaguzi kwa ajili ya zoezi la uhakiki. Zoezi la uhakiki ndio linaloendelea kwa sasa.
UPDATE:- 1:00 Usiku
I'm the only candidate who toured the country, met with actual voters and got their endorsement in person. All other candidates obtained their nominators from NEC registers without having to meet actual voters. Yet I'm the only candidate whose nomination is still under a cloud! - LISSU
1:03 Usiku - NEC
Mgombea mwenza wa CHADEMA, Bw. Salumu Mwalimu akishuhudia zoezi la uhakiki wa fomu za uteuzi za chama hicho. Zoezi hilo linaendelea Ofisi za Tume, Njedengwa, Jijini Dodoma.
UPDATE: 1:40 - LISSU APITISHWA
Katibu wa tume ya uchaguzi amesema wagombea wa Rais na Naibu Rais kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) wametimiza sifa na masharti ya uteuzi.
Baada ya tamko la katibu, Mwenyekiti amesema tume ya Taifa ya uchaguzi baada ya kujiridhisha kuwa kiti cha Rais na Makamu wa Rais waliopendekezwa na CHADEMA wametimiza masharti tume imewateua ndugu Lissu, Antipas kuwa mgombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na ndugu Mwalimu, Salum kuwa mgombea wa makamu wa kiti cha Urais wa Tanzania.
Quote me; chochote kinachofanyika Tanzania, kinafanyika kwa mapenzi ya Serikali na vyombo vyake. Tena ni baada ya kujiridhisha ya kwamba HAKUNA madhara. Lissu kugombea kama ilivyokuwa kwa Lowassa, tayari Serikali imeishajiridhisha HAKUNA madhara. Tukutane baada ya Oktoba 28!
Jaji kaijage alitaka kufanya ushetani akagundua kuwa atajikuta anahamia kuishi kambini jwtz kwani wafuasi wa chadema watamuandama mnoLissu Anapendwa, Uzi una likes na speed sana. Anamvuto kuliko wote walioteuliwa Leo.