Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI:

PROF. IBRAHIM HARUNA LIPUMBA NI MGOMBEA HALALI WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA WANANCHI (CUF)

Tume imejiridhisha kuwa Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amerejesha fomu zake kwa mujibu wa Sheria, kanuni na maelelezo ya tume ya taifa ya uchaguzi.

Hivyo tume imejiridhisha kwamba pingamizi halina msingi wa kisheria na umetupilia mbali.

Kwa maana hiyo Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ni mgombea halali wa urais kupitia chama Cha wananchi (CUF)

#NitampaKuraYanguProfLipumba.
 
Duh. Kumbe unaitegemea Marekani na Ulaya?

Kamuulize Besige wa Uganda mpaka imebidi ajistaafie siasa maana kaona anazeeka na matumaini kama haya haya yako
Bila Ulaya na marekani hatuwezi kuwatoa nyie viazi.

Tunahitaji Pesa, intelijensia n.k.

Tutayapata wapi km sio Ulaya????.
 
Unajua huko Amerika na ulaya walishamuona tundu ni fala tu, na hawa hangaiki nae, ila kuna vi taasisi vya kishetani huko ndo vinaleta chokochoko.

Ambavyo vinafanya ujambazi nchi za Africa.
 
Corona tu imewashinda sasa wewe unasema nini?
Huko marekani kwenyewe huyo Trump ana mawazo, sasa ahangaike na sisi ili iweje?
Bado sisi ni taifa huru
Tanzania siyo Taifa huru ndiyo maana kuna Balozi mbalimbali na pia mbona yule Balozi wa marekani alikuwa akikosoa live waliogopa kumfukuza? Tanzania siyo huru sasa ipo chini ya Mkoloni mweusi tokea chato ingawa analala chamwino, Wapinzani wanadai uhuru kama akina nyerere au Mandela alivyodai uhuru toka kwa makaburu
 
Unajua huko Amerika na ulaya walishamuona tundu ni fala tu, na hawa hangaiki nae, ila kuna vi taasisi vya kishetani huko ndo vinaleta chokochoko
Ambavyo vinafanya ujambazi nchi za Africa.
Unaonaje Lissu atakavyoimarisha mahusiano na viongozi wakubwa wa Dunia.

Tanzania ya Lissu ,ni Tanzania bora kabisaaaaa
 
Hahahaha ndo mtajua Hamjui..

Bichwa wenu ni Tatizo sugu kwa Dunia.

Atoke Trump..aje Biden tena huyu ndo kabisaaaaaaa Sera zake ni zakujitanua, mbona mtaelewa tu

Kwa ufupi anguko la CCM liko mchakatoni.
Yan mpaka sasa mshapogwa majimbo 22 alafu mnasema mnaiangusha CCM nyie kweli nyumbu!..
 
Unajua huko Amerika na ulaya walishamuona tundu ni fala tu, na hawa hangaiki nae, ila kuna vi taasisi vya kishetani huko ndo vinaleta chokochoko
Ambavyo vinafanya ujambazi nchi za Africa.
Wewe mwenyewe hapo ulipo ni fala na mbumbumbu juha zuzu unawezaje kujua ya Ulaya dhidi ya lisu? Acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu na uongo wako wa kishamba tokea kolomije.
 
Kuna watu wengi wanamuharibia Magufuli makusudi ashindwe kusimamia vitu wanavyovipenda wananchi tangu mwanzo, Sasa mtu anasema atamponda Lissu mawe Sasa hapo ukifanya hivyo utakuwa unamharibia Nani Kama siyo kuwapa maadui kwamba Kuna watu makatili ili waongoze hata hao waliotupa mawe mpaka sasa wananchi wameongeza chuki hebu achani wanasiasa warumbane wao maana mwisho wa siku wanakaa wanaelewana ila sisi wengine tunajikuta tumehawaribia kwa kutumia nguvu badala ya akili.
 

Kwa hiyo alienda wapi?
Sisi hatufukuzi kabla hatujaongea na wakubwa zake,
Na ndio maana walimuondoa kwa kuwa nae alikuwa kibalaka wa wazungu washenzi.
 
Sasa siukakate Rufaa juha wewe?
Unakuja kutulilia huku so what?
Damn u!
 

We ni mzigo kwa taifa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…