Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

sijakuelewa wew ngamia kuhusu huu upupu wako
 
Yan mpaka sasa mshapogwa majimbo 22 alafu mnasema mnaiangusha CCM nyie kweli nyumbu!..
Na ili muyapate hayo lazima muolewe kwanza
Oyaa lumumba, Wacha nilale, kesho mapema Saa mbili niko kwa ratiba ya kumfanyia upasuaji Mgonjwa
Naivo nahitajika kuamka mapema.



Ila nasemaje mwaka huuu Mmekutana na Kisiki Jabali saizi yenu , mmoja lkn anawapa kihoro mamaeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani ndo mnavyohofurahi , ilhali mnajua uchaguzi hamshindi ! Yaan ni kama mnajitekenya na kucheka wenyewe!
 
kobe wewe
 
Ndugu, unashangilia bila kujua mtego wa Lissu, akili kubwa iliyo nyuma ya mapingamizi hayo ili kuwa kutest tume kama itajichanganya ama la sasa kinachofuata kwa sababu zile zile zilitolewa na tume wagombea wote wa vyama vya upinzani walioenguliwa na wakurugenzi wa halmashauri katika ngazi ya ubunge wanaenda kurudishwa. Kwa sababu kuenguliwa kwao ni hila na sababu za hovyo hovyo tu. Na mmoja wa Morogoro mjini alienguliwa kwa sababu ya picha kama ambavyo alitakiwa aenguliwe wa nafasi ya urais lakini kumbe kwa mujibu wa tume yenyewe picha wala sio issue!!!! Sasa nani mshindi hapo?
 
Neno kupita bila kupingwa ndilo neno la kishetani lililosalia Tanzania kwa sasa kwani ni neno haramu lililojaa magumashi ya kutosha
 
Yale yale " nitaenda kukusemea kwa baba"
Ukiamini baba yako abaweza kuchapa kila mtu!!!
Acha ulofa Lissu hawezi kujua sheria kuliko wote.
 
Yale yale " nitaenda kukusemea kwa baba"
Ukiamini baba yako abaweza kuchapa kila mtu!!!
Acha ulofa Lissu hawezi kujua sheria kuliko wote.
 

..kwenye picha Magufuli amechemka.

..na angekuwa mgombea kupitia chama cha upinzani asingeteuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…