Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Chamoto mmekiona
Tutakata rufaa
Halafu mambo yakiharibika kabsaaaa NEC tukutane isisii ( ni swala la muda tu)
 
Kuhusu kuhonga mahakamu kama unaushahidi kamshitaki kwenye kamati ya Mawakili ili afutiwe leseni au asimamishwe uwakili na kamati ya Mawakili
Halafu kwenye Sheria sio kujaza vyeti sijui Degree5 PhD Sheria ni practice na thoroughly Reading.
 
Mkuu uliandika haya kwa kutafakari au kushabikia!?
 
Bila mbeleko Jiwe ni mwepesi sana..!.
 
Corona tu imewashinda sasa wewe unasema nini?
Huko marekani kwenyewe huyo Trump ana mawazo, sasa ahangaike na sisi ili iweje?
Bado sisi ni taifa huru
Huru kisiasa
Kiuchumi sisi ni wategemezi bado hivyo tuimarishe utawala bora.
 
Hawana cha kusema zaidi ya hayo waliyosema
 
Hahahahahahahaaa,
 
Itajulikana tuu kuwa ni ujuma ya mahakama, nayo mahakama mpaka itaona aibu, kwa ufupi rais wetu ni mfalme ila kuna mahala ufalme unagota tu.
 
Unachoongea sio kweli
Lissu ametaja kanuni,sheria ya uchaguzi vifungu specifically, na hata kwenye ile fomu ya pingamizi kataja specifically kwamba kipengele Fulani nadhani ni n,halafu baada ya kukitaja akaenda kwenye sheria what does the law says akakuta ni contrary to kifungu Fulani cha sheria ya uchaguzi,na kanuni.
 
Kukosea kupo
Unajua sheria ni pana sana mkuu
 
By the way
Utaratibu ni kwamba every judgment or ruling shall contain facts,point of determination, the decision and reason for the decision
Kwenye Facts hakuna shida
Twende kwenye kipengele cha point of determination hapa ndiyo kiini cha maamuzi na kiutaratibu every point of determination kwenye judgment or ruling ni lazima kuwe na analysis of applicable laws mfano The National Election Act kifungu Fulani kinasema hivi, hivyo kifungu cha Lissu kakosea, katiba inasema hivi kupitia ibara Fulani ya katiba au Kanuni Fulani ya uchaguzi inasema hivi na hata kama kuna kesi unaweka ili kuongeza nguvu kwenye Ruling yako
baada ya hapo unakuja kwenye decision unaamua kwa kuangalia pont of determination above.
 
NECCCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…