Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Mimi nlisema mapema Lisu angekuwa na akili angetumia huo muda kuwasaidia wagombea wake ambao majimbo yao yameshatwaliwa na ccm
Lakini kwa vile han akili basi akaona bora atafute kili kupitia Magu
 
Hilo si shida maana hata Marekani upo msuguano kuwa Urusi ilimsaidia kufoji kura trump.
Tume haiingiliwi na muhimili mwingine hata kama dunia isema vyovyote. Swala hapa ni upungufu wa Katiba.

Ikumbukwe 2015 Rais alipoapishwa CDM haikumtambua kwa madai aliiba kura. Haikubadili kitu, safari hii mapingamizi mengi yatatupwa natume, itakuwa ina balance, baadae rais ni jpm uchaguzi ukiwa wa utulivu.
 
Watu waongo si walidai muwekewa pingamizi anafika ofisi za tume kujibu hoja?
 
Nyie ndo mlitetemeka wakati anawaona maboya mna msikiliza kisha mnashangilia.

Yaani Tundu lisu amekutana na everledy paka power premier yaani atakuwa kama panya keenye shimo😁😁😁😁
Hahaha mbona umepanic mkuu, relax ukumbuke Lissu hana dola wala hatembei ni mitutu kama waasi. Anatumia tu kile alichosomea kutetemesha.
 
Kweli kabisa, wamepata funzo kubwa Sana. Lisu aliweka pingamizi akitaka vipengele vya Sheria na kanuni na akasema wazi kuwa Tume imetunga kanuni zinazopingana na Sheria.
Sasa kwenye majibu, Mkurugenzi hajataja Sheria waliyotumia kufikia maamuzi yao zaidi ya kutaja kanuni ya 39inayopingana na sheria ya Uchaguzi.
Lakini pia Mgombea wa CCM atakuwa ameona athari ya kutopenda kufuata sheria na kujaribu kufikiri kuwa yuko juu ya sheria. Kwa hakika ashukuru Mungu hii so Time huru vinginevyo leo angekiona kilichomtoa kanga manyoa.
Asante Lisu kuishi kwa rehema za Mungu ili uwafundishe hawa wakaidi kuheshimu Sheria.
 
Tunasubiri anguko la Tundu Lissu hapo October na kufutika katika siasa za Tanzania.
 
Haibadili kitu...........rais anaongeza 5 yake
 
Mk
Mkurugenzi kachanganyikiwa na Lissu hadi akasema Eti Tundu Antipas Mughwai Lissu mgombea wa uraisi kupitia CCM πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wenye 'Akili' kubwa tumeshamuelewa vyema tu Tundu Lissu na hatujashangaa kumuona Mkurugenzi wa NEC akifafanua huku 'anajambajamba' tu.
NECCCM wanajikanyaga kanyaga hawana jawabu wamelitupilia mbali pingamizi kienyeji pasipo sababu za msingi kwa kifupi wamefanya Ubabe kwa kutumia maelekezo toka kwa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM.
 
HOJA ZA LISSU NI KIFUNGU KWA KIFUNGU HATA MANGUMBARU WA SHERIA TUMEELEWA ,MBONA MAJIBU YA JUU JUU YA HAWA WATU TOENI UFAFANUZI KISHERIA AISEEE SASA IMEELEWEKA KWA NINI THEY WANTED HIM DEAD HUYU MTU NI MWIBA,KUDADADEKI LISSU THE GREATEST.
 
Mimi nlisema mapema Lisu angekuwa na akili angetumia huo muda kuwasaidia wagombea wake ambao majimbo yao yameshatwaliwa na ccm
Lakini kwa vile han akili basi akaona bora atafute kili kupitia Magu
Iko shida kisaikolojia
 
Lissu bhana.... Yaani alitegemea tume ingemuengua Magufuli? Hakumbuki 2010 chama chake kilijaribu kwa JK ila ilishindikana?

Nadhani alitaka tu kuchangamsha kampeni...aliamua kupima kima cha maji kwa kutumia fimbo kabla hajatumbukiza miguu.
 
Lissu bhana.... Yaani alitegemea tume ingemuengua Magufuli? Hakumbuki 2010 chama chake kilijaribu kwa JK ila ilishindikana?

Nadhani alitaka tu kuchangamsha kampeni...aliamua kupima kina cha maji kwa kutumia fimbo kabla hajatumbukiza miguu.
 
Hilo si shida maana hata Marekani upo msuguano kuwa Urusi ilimsaidia kufoji kura trump. Tume haiingiliwi na muhimili mwingine hata kama dunia isema vyovyote. Swala hapa ni upungufu wa Katiba...
Si shida??? Waulize watu walioko serikalini wakwambie huko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mk

Mkurugenzi kachanganyikiwa na Lissu hadi akasema Eti Tundu Antipas Mughwai Lissu mgombea wa uraisi kupitia CCM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna sehemu imekatwa na kuungwa. Ndicho nilibaini nirudia na ku slow maana nihisi hivyo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…