Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Kama haikupangwa, ni sawa tukisema "Messi anabebwa na bahati tu, michuano hii"?Anyway, pole sana mkuu, haikupagwa Ronaldo apite.
Hatuwezi kubishana masuala sjui huyo Pele , mara sjui Maradona mara Delema mara sjui Nani , wengine mtajifanya wahenga humu , ooh Pele ilikuwa hv , the best way ni kuangalia data na mafanikio baaasi , tutalinganisha mafanikio ya Pele , tuzo na mafanikio ya Mesi pamoja na tuzo , hayo mengine ni mbwembwe tuuMessi atakuwa akili yake haiwezi kupembua mambo au sio mfuatiliaji.... (wakati ananyonya watu walikuwa wanauguza ankle zao na magoti na majeraha kadhaa) In short Pele angeweza kucheza leo (technically gifted) lakini kipindi hicho ulihitaji kuwa na nguvu za ziada (Messi ofcourse ana nguvu ila asingecheza mechi nyingi kama anazocheza leo) injuries...
Hivi unajua kipindi cha kina Pele Striker alikuwa hapewi favor (unapigwa buti mpaka unashangaa) bila nguvu usingeweza kucheza..., Leo Messi ni multi million asset akiumia siku chache sponsors wanapoteza pesa, hivyo refeers wanamlinda akiguswa tu basi...
Kipindi kila beki anakupiga kiatu au hata ukizubaa unapigwa kichwa na pepsi za kutosha..., unadhani kina Messi wangecheza kipindi hicho... huo mwili wake tu angekuwa anawekewa majamaa mawili yaliyoshiba akitoka hapo miguu imevimba.... tena acha kipindi cha kina Pele hata kipindi cha 1990 kina Maradona hebu cheki hapa Cannigia alivyopigwa kiatu (refa anapeta tu) leo hii mtu angejirusha apewe penalty...
Acha kumlinganisha Fenomeno 9 na vitu vya kijinga we jamaa.Messi yupo class ya peke yake, an exceptional player.
Halafu ndio wale wengine wajipange akina Pele, Maradona, Zidane, Ronaldinho, Ronaldo de lima, Christiano Ronaldo, Beckeunbauer, di Stefano, Platini nk
Duuh uko serious kabisa unauliza hili swali??Ronaldo dream ya kushinda WC haijaisha, anaweza kua kocha pia ana mtoto ni baller pia.
Between Messi and Ronaldo I will choose Ronaldo maana kafanikiiwa in side na outside ya sport.
Ukitoa ma Mipira Messi wako ana nini cha kututambiaππ
Duuh uko serious kabisa unauliza hili swali??
Pale mtu anapoona ameshindwa kubishana kwa facts badala yake anaanza kugusia personal issues [emoji23]Duuh uko serious kabisa unauliza hili swali??
Duuh uko serious kabisa unauliza hili swali??
Personal issue kiaje, hapa tunaangalia mafanikio kimpira kiujumla,Pale mtu anapoona ameshindwa kubishana kwa facts badala yake anaanza kugusia personal issues [emoji23]
Kwa jinsi swali lao ulivyoliweka ni kama messi hana kitu zaidi ya talanta yake.Yas maana kwa influence Ronaldo yupo top, kwa investment yupo top
Ongezea kingine
Afu ni handsome anakuzid hata weweππ muachen baba wa watu , aliyofanya yanamtosha yeye na familia yake.
Nimemshangaa kusema messi hana kitu nje ya mpira!!Pale mtu anapoona ameshindwa kubishana kwa facts badala yake anaanza kugusia personal issues [emoji23]
Mafanikio kimpira ndo kama hayo ya messi kucheza fainali za world cup kitu ambacho ronaldo hajawahi hata kufika nusu fainali, mafanikio kimpira ndo kama hizo ballon d'or .Personal issue kiaje, hapa tunaangalia mafanikio kimpira kiujumla,
Sijasema hana kitu anavyo Yes ila Ronaldo ndio yupo on topNimemshangaa kusema messi hana kitu nje ya mpira!!
Huenda si mfuatiliaji wa hawa wachezaji.
Anampenda Ronaldo (kimahaba zaidi) na sio kimichezo.
Hapohapo ulipo, tafuta list ya wachezaji wanaolipwa zaidi duniani .Sijasema hana kitu anavyo Yes ila Ronaldo ndio yupo on top
Tuzo za Pele na Messi zipoje ?Hatuwezi kubishana masuala sjui huyo Pele , mara sjui Maradona mara Delema mara sjui Nani , wengine mtajifanya wahenga humu , ooh Pele ilikuwa hv , the best way ni kuangalia data na mafanikio baaasi , tutalinganisha mafanikio ya Pele , tuzo na mafanikio ya Mesi pamoja na tuzo , hayo mengine ni mbwembwe tuu
Hapohapo ulipo, tafuta list ya wachezaji wanaolipwa zaidi duniani .
Ili kurahisisha tumia google tu mkuu.
Punguza mahaba sisteri