Tumepoteza kijana huko Houston, Texas. RIP Humphrey Magwira

Ila baadhi ya wamarekani hawawapendi watu weusi haijalishi umezaliwa huko au umezamia, wengi wanaigiza. Sasa kama hivyo ukiingia kwenye 18 zake anakumaliza.
Maerkani sio nchi salama yakusema unaenda kuishi huko. Labda vacation tu unarudi zako.
Dogo aligongana na mtu mweupe, mtu mweupe akatoka kwenye gari yake akaja kwa dogo na kumpiga risasi sita, mtu mweupe amekamatwa na amefunguliwa kesi ya mauaji. Sasa sijui ni ubaguzi au bhange tu za mtu mweupe
 
Ila baadhi ya wamarekani hawawapendi watu weusi haijalishi umezaliwa huko au umezamia, wengi wanaigiza. Sasa kama hivyo ukiingia kwenye 18 zake anakumaliza.
Maerkani sio nchi salama yakusema unaenda kuishi huko. Labda vacation tu unarudi zako.
Hata vacation ukizubaa unalambwa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Tunapewa silaha ili kujilinda na majambazi, matokeo yake silaha zinatupa ugonjwa wa akili; kama unamatatizo ya akili usimiliki silaha
 

Hali ni mbaya kwa kweli
Tena inatisha
 
Rest in peace kijana ulie kua unapambania ndoto zako lakini mzungu asie na huruma kakatisha uhai wako na kuipa jeraha familia yako poleni sana wanafamilia, marekani vijana wengi ni ma psychopath.
 
Rest in peace kijana ulie kua unapambania ndoto zako lakini mzungu asie na huruma kakatisha uhai wako na kuipa jeraha familia yako poleni sana wanafamilia, marekani vijana wengi ni ma psychopath.View attachment 1977584

Hapa ndipo nachoka na wabeba box ,yaani wamekaa huko USA zaidi ya miaka 10 lakini usd 20,000 mpaka watembeze MABAKULI.
 
Unakuta muuaji ana stress za mapenzi kaachwa na malaya wake ana hasira kama Hamza
 
Kuna wakati huwa nachangia humu JF pale wasiowahi fika Marekani au kusafiri kwenda nje ambao wanaona Marekani au Ulaya ni Kanaan au ni nchi za maziwa na asali kuwa zunguka wee nenda hadi mwezini hapa Bongo ni peponi na maisha yetu ni mazuri sana kulinganisha na maisha ya songombingo za ughaibuni lakini wengi hawaelewi ,kibaya zaidi sisi ngozi nyeusi hatupendwi kabisa na hizi ngozi nyeupe. Marekani maisha ya ngozi nyeusi ni sawa tu na maisha ya kuku, wakati wowote unaweza uawa au kuzuriwa. Mtu mweusi haishi kwa amani huko ughaibuni na hana haki,kila jambo baya linamuangukia yeye.
 
Kuna mmoja alizaana na binti wa kizungu, huyo baba alitusimulia kuwa wale watu ni wa aguzi sana.
Alisema kuna wakati alikuwa akienda kumsalimia mwanae akifika pale nyumbani hata hawamujali, yaani jinsi wanavyo mcare paka wao ni zaidi wanavyo mcare yeye.

Alisema pamoja na kutoa matumizi yote ya mtoto ila hana uhuru na yule mtoto.anasema anajuta kuzaa na ngozi nyeupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…