Tumepoteza kijana huko Houston, Texas. RIP Humphrey Magwira

Katoboa sikio
 
Mmmh Wana vurugu kinoma bas
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna vitu hujapitia mkuu ni ngumu kuelewa, lakini mara nyingi wauaji wanasema wakishaua mara moja, ile trauma (PTSD) ya mauaji ya kwanza inapelekea wanakuwa kama akili imeswitch, hivyo lazima tu kuna matukio utajikuta umeua tena. Huyo jamaa inawezekana ameshaua watu zaidi hata ya 20 lakini hii kesi ndiyo vyombo vya sheria vikafanikiwa kumkamata.
 
Wale jamaa wenye viwanda vya kutengeneza silaha hawawezi kukubali abadani asilani, they are capable of anything, ikiwemo kuhakikisha Rais hashindi awamu inayofuata. Hili ni janga kwa US na kwa dunia nzima linakuja.

Alale salama kijana mdogo wa kitanzania.
 
Kabisa hata hivyo wanasema damu ya mtu lazima imuandame. Ndo 40 zomefika sasa
 
Kabisa hata hivyo wanasema damu ya mtu lazima imuandame. Ndo 40 zomefika sasa
Hebu tafakari, kijana mdogo kama huyo amekuwa katili hivyo, future yake itakuwaje? Hapo ana miaka 19, akifikisha miaka 40 itakuaje?!
Lakini kama atapata matibabu ya kisaikolojia anaweza kusamehe past yake na akaendelea na maisha kama raia wa kawaida. Lakini asipokuwa chini ya uangalizi mzuri na yeye lazima tutasikia ameuawa ama ameua tena.
 
Hakuna cha matibabu ni ubaguzi wa rangi, baadhi ya wazungu wanaona ngozi nyeusi kama laana vile.
 
Hakuna sehemu niliposema mzungu nimesema mweupe, Duniani kuna mtu mweusi na mweupe tu hao wahindi wekundu hawana tofauti ki rangi na John Deep
Wewe ndio unalazimisha hivi, ni sawa na kulazimisha duniani kuna dini mbili tu, Ukristo na Uislamu kwa sababu ndio mwisho wa upeo wako wa kuelewa mambo.

Nenda South Africa tu hapo kuna White, black, coloured na Indian.

Wewe huna unalolielewa hapa duniani, lack of exposure.
 
Msiba uko wapi huku bongo?
 
Narudia tena nimesema mweupe na si mzungu
 
Ujana! Una-drive, unamiliki silaha, nk. Hizi sinema ni nzuri lakini ni mbaya sana. Ni uongo ambao wameufanya uonekane ni uhalisia.
Utemiutemi nk. Vijana wanaiga.
Angalia umri wenyewe, 20 kwa 19.
Ona sasa wegawana majengo ya Serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…