Tumeshawaambia msisafiri na familia nzima katika gari moja ila hamsikii

Watz ni watu wajinga Sana .

Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.

Baba
Mama
Watoto

Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote.

Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.
Uzuri ukishakufa tu hujijui kama uliwahi kuishi hapa Duniani.
 
Watz ni watu wajinga Sana .

Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.

Baba
Mama
Watoto

Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote.

Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.
Ndugu yangu acha hayo, kwahiyo na hizo safari walizowahi kusafiri na wakafika salama unawaambiaje.

Alafu Raha yakusafiri usafiri na familia bhana hayo mengine ni matokeo tu alafu hayakimbiki.

Ukitaka uishi vizuri kwahii dunia acha kukifukiria vibaya kifo,

Ikitokea imetokea tu, acha kuweka hizi Kinga zisizo na maana
 
Mkuu kuna vibe kubwa Sana kutembea na familia ingawa kuna risks kubwa....nami pia nimesafiri na familia tuombeane Tu turudi salama
Kusafiri na familia ndiyo mambo yote na mtu yoyote mwenye akili atafanya hivyo. Infact ni wengi wanafanya hivyo duniani kote. Tatizo ni kuwa Tanzania hatuzingatii sheria za barabarani halafu ajali inapotokea tunakimbilia kulaumu mambo mengine. Juzi nilimsikia tena yule tapeli Mwamposa akisema ajali zinasababishwa na mapepo.
 
Nimewaambia duniani kote vipindi vya holidays, safari nyingi zinafanyika kifamilia. Ni nyingi mno na ajali kama hiyo inatokea mara chache kulinganisha na wingi wa safari.
 
Kwa hili mtoa madA ana Akili fupi kuliko kiberiti Yaani unataka kumpangia mwenye mali yake kuamua nini afanye juu ya Mali zake.
 
Upo Sahihi kabisaa mkuu ni ngumu Sana kutengana na watoto safarini
 
Majitu mengi tu huwa yanaendesha na vilevi kichwani , sisi wamatumbi kwenye hivi vyombo vya moto tunajitoaga akili sna.
 
Watz ni watu wajinga Sana .

Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.

Baba
Mama
Watoto

Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote.

Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.
Hili somo nimelipata vizuri tangu ile ajali iliyoondoka na watu takribani 7 wa Familia moja miaka ya nyuma.

Familia rundikaneni kwenye usafiri wa umma ila usafiri binafsi, hapana
 
Bora utafute dereva mwenye akili timamu mwenye uzoefu na kufuata Sheria za usalama barabarani
Unakuta mwendesha anaendesha chombo huku anapiga stori za jana kijiweni na konda wake. Wakati huo anageuza shingo nyuma. 😀
 
Kwahiyo Mungu kawaua?
 
Watz ni watu wajinga Sana .

Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.

Baba
Mama
Watoto

Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote.

Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.

Mfano Mimi Nina watoto 4, na mke, tukigawana magari wawili kwa wawili, labda Mimi nikafariki na Mke, ( Probably tutakuwa kwenye gari Moja ) hao wanaobaki si ni majonzi tu na mateso,

Unapiga sala vizuri sana, unamwamini Mungu then wote mnasafari, Kuna famili walikuwa wanatembea jioni wakagongwa wote, wengine gas iliwafumukia ndani wakafa wote!

Sala + mwamini Mungu
 
Watangulie na mama yao ili baba afe peke yake🤔
Siyo maana yake,angesafiri mapema Barabara hazina wingi wa magari na pilika nyingi,hivyo ni rahisi baba kuwa makini zaidi akiwa mwenyewe safarini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…