Uzuri ukishakufa tu hujijui kama uliwahi kuishi hapa Duniani.Watz ni watu wajinga Sana .
Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.
Baba
Mama
Watoto
Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote.
Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.