Marealle alikuwa elegant sanaLondon.
Mkoloni ana njia nyingi za kuwaweka katika mstari ulionyoka.
Machief wa Tanganyika ziarani Uingereza 1951.View attachment 3534951
Hapo ni kijijini kwetu jirani na zahanati. Tanki hilo lilikuwa lilisambaza maji maeneo ya katani.Who remembers this label W.D&I.D? What does it mean? Found this abandoned water tank in Minziro.
Hapo zamani za kale, idara hii ilivuma sana. Unaikumbuka? Usiseme ulikuwa hujazaliwa!View attachment 3540898
Furahia wakati uliopo , leo ni zamani ya baadaye.Huwa natamani sana ni heri ningezakiwa miaka ya nyuma kabisa ili mwaka kama huu ningekua mzee kabisa...
Huwa naonea wivu sana watu wana a zamani.
Napenda sana life ya zamani na nachukia sana hi life ya sasa.
Natamani niende nikaishi mashambani huko mi kazi yangu iwe kulima tu..
Natamani sana sana sana natamani ile life. Ya 1900s...
Nawezaje kwenda mashambani nikajifiche huko nipate kipande cha ardhi maisha yaanze,
Niwe na acces ya
Umeme na Internet tuuu
Mkuu wa Boma la Arusha, Kurtz Yohannes 1896.View attachment 3668148
Ilikuwepo ruti ya stesheni Chang'ombe Polisi yalitoweka 1970 na mengine yaliishia Kiwalani Bombomu, Bombomu yalikuwa mabasi nusumkate mbele, yaani mbele kuna sehemu ya dereva tu ndiyo asili ya nusumkate au Bombomu na jina likaangukia hapo Kiwalani yalipochinjiwa eneo kilipo kiwanda cha Pepscola.