Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Kama Magufuli yuko 5 bora, then bara la Africa liko hovyo kwenye utawala bora.
 
Kwani huyu ni kipi kimebadalika kwenye maisha yangu?
Basi mkuu mpigie kura wa Ghana, Lisu atakuwa rais na Magu kuwekwa pembeni na maisha yako yatabadirika
 
Kwani huyu ni kipi kimebadalika kwenye maisha yangu?
Utabidilisha vipi kama akili yako ndio hii mbovu ya kushinda jf kupiga soga tu
 
Nimewatumia jamaa kwenye group letu. Nimewaambia tumpigie rais wa Ghana, naona zaidi ya watu 90 kwenye group lenye watu 198 wameniwekea dole. Watu wawili tu ndio wamesema hatumpigii rais wetu, kila mtu kawanyamazia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Utoto huu! Hapo ndio Magu hatakuwa rais ama?
 
Aise naona kuna jamaa anasema tumpigie wa Ghana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…