Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa haongozi mnge kuja hapa na kejeli kibaoHuyu ataiba kura hata za online atashinda tu hakuna haja kumpigia.
Kwani kwa sasa anaoongoza kipi kimebadalika?Angekuwa haongozi mnge kuja hapa na kejeli kibao
Kama Magufuli yuko 5 bora, then bara la Africa liko hovyo kwenye utawala bora.Kama hili shindano ni la kweli, mwenye kustahili ushindi huo itakuwa ni Nana Addo wa Ghana, ktk vigezo vyote vya utawala bora hakuna anayeweza kumfikia. Tuache unafiki kwa kuwa hata madonda ya rafu za uchaguzi uliopita na madhira yake bado hayajapona.
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ulipompigia rais wa Ghana kipi kimebadirika kwenye maisha yako?Kwani kwa sasa anaoongoza kipi kimebadalika?
Kwani roli modo wenu Kenyata hayumo?Kama Magufuli yuko 5 bora, then bara la Africa liko hovyo kwenye utawala bora.
Hiyo itamfanya Lisu awe rais eti?nishampigia kura rais wa ghana,moyo wangu una amani zaidi!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ulipompigia rais wa Ghana kipi kimebadirika kwenye maisha yako?
Inamaana inapaswa azime Tena INTERNETSiku ya uchaguzi internet ilizimwa leo hii mtu anaombewa kura zipigwe kupitia internet hiyo hiyo
Basi mkuu mpigie kura wa Ghana, Lisu atakuwa rais na Magu kuwekwa pembeni na maisha yako yatabadirikaKwani huyu ni kipi kimebadalika kwenye maisha yangu?
Wapi lissu katajwa,mbona unahorojeka kama punguani!!Hiyo itamfanya Lisu awe rais eti?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Usinitolee povu la hasira mimiWapi lissu katajwa,mbona unahorojeka kama punguani!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Utoto huu! Hapo ndio Magu hatakuwa rais ama?Nimewatumia jamaa kwenye group letu. Nimewaambia tumpigie rais wa Ghana, naona zaidi ya watu 90 kwenye group lenye watu 198 wameniwekea dole. Watu wawili tu ndio wamesema hatumpigii rais wetu, kila mtu kawanyamazia.
Unamsifiaje mwanaume mwenzio uku unaleta shombo za buza!?Sifa zake, uthubutu wake, umahiri wake wa kuongoza, Imani Kali Sana Kwa Mungu wake, zinavuma kote duniani
Ni wivu wa kijinga Kwa mtu yeyote atakayemnyima Kura!!
Hata Lisu alipoona kelele zenu za humu alijua keshashindaMimi nimeshampigia Nana Okafo wa Ghana