Tunamsakizia Mbowe na kumlaumu kalamba asali. Tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran

asante sana. Vyama vya upinzani vinatupa dira, uongozi, sisi tunatoka barabarani tunaandamana kwa amani kabisa kudai demokrasia na haki . Ni kuwapa pressure watawala kuwa mambo hayako sawa. Na wala hakuna fujo, ni haki ya kikatiba! itafika mahali wata-surrender maana ukweli wanauona lakini hawataki kutenda haki na ukweli!
 
Chadema wakae kimya hivyo hivyo watu akili zitusogee. Mambo yakizidi kuwa magumu sisi wenyewe tutajiongeza😀
 
Mbona yeye hajafa mpaka sasa na kaficha watoto wake marekani.
 
Chadema wakae kimya hivyo hivyo watu akili zitusogee. Mambo yakizidi kuwa magumu sisi wenyewe tutajiongeza[emoji3]
Shida ya Chadema ni ruzuku tu na wala hawana mpango wa kuchukuwa Dola!!
 
Halafu sisi tunafanya mapenzi na wake zetu Mbowe yupo magereza
 
Tukae kwa kutulia tuu,kwani izi pigo hao ccm wapiga kura inamaana na wao hawaumii,kma unauchungu wewe andamana,Mimi Niko pale kusubili matokeo ya kuandamana kwako.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Kila mtanzania ni mlamba asali. Tuache tabia ya kunyoshana kidole eti fulani kalamba asali wakati wewe mwenyewe ndio ziro kabisa. Tena afadhali ya huyo unayemuonyeshea kidole

WATZ WOTE NI WALAMBA ASALI NDIO MAANA HATUCHUKUI ATUA ZOZOZTE ZILE PALE WATAWALA WANAPOFANYA MAUJINGA
 
Hakuna maandamano yasiyo na fujo
 
We jamaa tutoke kama wa irani ili watuvunje, watuharibu sura? kwanza Imeandikwa Yamfaa mmoja (au wawili, au watatu) kufa kwa ajili ya wengi sisi kina nani tupingane na maandiko.
 
Wanafikiri watanzania wote ni closed mind tunaelewa ,na sasa hatupo nyuma ni lazima tuwasukume viongozi wetu wasile posho na mishahara bure,kiongozi unapogombea kiti ni lazima umeshatambua wajibu wako na unawakilisha umma mambo ya kusema jaribuni nyie kuingia road ni udhaifu wa kiongozi,bora hata lema kasimamia anachokiamini
 
We jamaa tutoke kama wa irani ili watuvunje, watuharibu sura? kwanza Imeandikwa Yamfaa mmoja (au wawili, au watatu) kufa kwa ajili ya wengi sisi kina nani tupingane na maandiko.

Hizi nchi ambazo wananchi walitoka na kufanikisha kuilazimu serikal kubadili maamuzi yake wao wanafanya kwa style gani?
 
Hizi nchi ambazo wananchi walitoka na kufanikisha kuilazimu serikal kubadili maamuzi yake wao wanafanya kwa style gani?
Inategemea na ideological composition ya population. Nchi hizi zinakua zina watu wenye fikra za kimapunduzi zaidi ya percentage flani ya population kwa Tanzania watu wenye fikra hizi bado ni wachache sana.
Unawaona wale watu waliolia kwenye msiba wa Magufuli mpaka wanatandika nguo barabarani mpaka watakapobadili fikra zao wale jamaa hapo tunaweza shinikiza serikali ifanye mabadiliko kinyume na hapo tutajikuta barabarani tupo 300 tukidhibitiwa na polisi 900 wenye mabomu ni kutafuta vilema visivyona sababu.
 
stiff necked fool
 
Hii hoja ya uoga mie naipinga.
 
kama hupokei ruzuku kalisha matako yako kwenu ulimlaumu mbowe endelea kupigika kwenu au kufa lakin sio kumtaja mbowe kwa upunga wako.
Ila mwenyewe Mbowe anakubali kulaumiwa anaambiwa hadi analamba asali inamkera ila anavumilia ndio uongozi huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…