Mkuu,Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia
Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana
Kwaamaana October tunataka kutic
Ni wapi alipo rais wetu
Asanten sana
LONDON BOY
Kwani kuna moshi wa rangi gani unafuka huko?Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia
Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana
Kwaamaana October tunataka kutic
Ni wapi alipo rais wetu
Asanten sana
LONDON BOY
Hahahaaa, watu mna vituko sana.Ee baba tutendee sie waja wako, tutendee baba.
Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi, mnataka atoke aende wapi? Magomeni au Kariakoo? -Kassim Majaliwa Majaliwa, Njombe, Tanzania, 11 March 2021Yupo unataka aonekane aende wapi? Magomeni au kariakoo
Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi, mnataka atoke aende wapi? Magomeni au Kariakoo? -Kassim Majaliwa Majaliwa, Njombe, Tanzania, 11 March 2021Tujiunge na wenzetu wa Kizimkazi kuwaletea matangazo ya moja kwa moja
Ukiona wanaulozia ujue wameanza kuvumisha, ai unajua hii ni nchi ya upepo?Mkuu,
Kwani rais hajaonekana siku ngapi?
Rais akienda kunya tu chooni dakika tano napo utataka ujue yuko wapi?
Mzee unashida Gani mbona upo nje madaWrite your reply...nyie makenge wa chadema nendeni kenya mkamtoe mme wenu boniface mwangi kakamatwa kwa ugaidi nyie mmejikausha na yule bibi yenu sarungi nae tayari anarudishwa bongo
Majizi na mafisadi,ndio kwabana sana,kwa hiyo ndio mbamtaja taja,mama kaza uzi kwa hao majizi.nq mafisadi.Hahahahaha! Leo weekend atakua kapumzika tu usihofu maana machawa bila kumtaja taja huwa wanakosa raha
Write your reply...nyie makenge wa chadema nendeni kenya mkamtoe mme wenu boniface mwangi kakamatwa kwa ugaidi nyie mmejikausha na yule bibi yenu sarungi nae tayari anarudishwa bongo
Ukiwa makamo wa Rais,ni Rais mwenza,kukupigwa kura,na yeye kura zinamhusu.Anaitwa mgombea mwenza.Alichaguliwa na nani??? Yule ni Mali ya JK
Tumuulize MAJALIWA!Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia
Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana
Kwaamaana October tunataka kutic
Ni wapi alipo rais wetu
Asanten sana
LONDON BOY
NRNE Iko pale pale bossSio kweli hakujafungwa.jaman mbona naanza kuhisi tunatolewa kwenye mambo ya No reform tunaingia ktk mtego wa hawa dhulumat!CCM wajanja sana tuwe makini!
Safi sana,wale Polisi wa kuzuia ugaidi wamemkamataWrite your reply...nyie makenge wa chadema nendeni kenya mkamtoe mme wenu boniface mwangi kakamatwa kwa ugaidi nyie mmejikausha na yule bibi yenu sarungi nae tayari anarudishwa bongo
Kwahiyo choo kipo comoroš¤£Mkuu,
Kwani rais hajaonekana siku ngapi?
Rais akienda kunya tu chooni dakika tano napo utataka ujue yuko wapi?
TunatikiNRNE Iko pale pale boss
TunatikiKwani deni la taifa halimhusu ?
Wewe unajua rhetoric question ni nini?Kwahiyo choo kipo comoroš¤£
Huu ndio ukweli