- Thread starter
- #61
Mbona stori nyiiingi kama serikali haipo?Tumkumbuke JPM kwa lipi?? Aliiba na kuficha hela uchina, aliruhusu akina Sabaya na Makonda wawapole watu hela kwa jina lake, hakupenda kusikia serikali yake ikisemwa bali alipenda sana kusifiwa kwa data za uongo uongo... alikuwa Rais wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii
Yaani tunahangaika kwenda kukopa wakati kuna mapesa China?
Kwani nauli Shi ngapi ya kwenda huko kulinganisha na mapesa yetu?