Tunasisitiza haki kutendeka kwa mashehe wa Kiislamu wa Uamsho kutoka Zanzibar

Binafsi nafurahia mashehe kuwa ndani na natamani wateswe zaidi. Ugaidi walio kuwa wakihubiri na kuuhimiza hadharani ulikua unaelekea kuichafua nchi yetu totally. Waendelee kuwekwa kizuizini kwa maslahi mapana ya nchi...
Kutesa kwa zamu.
 
... kwa matukio hayo nasita sana kuwatetea masheikh wa Zanzibar; japo wanasiasa watajitia unafiki kuwatetea kwa maslahi ya kisiasa, lakini wale jamaa walitaka kuiharibu nchi!
Okelo na wenzake walishaiharibu Zanzibar toka 1964.
 
Waislamu bado awajaamua siku wakiamua awatoendelea kukaa ndani
 
Hawa mashekh wa Zanzibar wamenikumbusha kina Sheikh Rogo na Makaburi wa Mombasa Kenya. Yaani walikuwa wanapigwa risasi kimasikhara tuu...tena Makaburi alikuwa anajua ni suala la wakati tuu atauawa. Duuuh hatari.
Kuna wakati nawapongeza Wamarekani, ugaidi ungeweza kuwa vita ya tatu ya dunia.Tuwe na akiba ya maneno kama raia hatupaswi kujua yote. Tuombee amani na umoja wa taifa letu, tudai katiba bora.
 
... kwa matukio hayo nasita sana kuwatetea masheikh wa Zanzibar; japo wanasiasa watajitia unafiki kuwatetea kwa maslahi ya kisiasa, lakini wale jamaa walitaka kuiharibu nchi!
Bila wale wahuni kuwekwa ndani tungechinjana humu nchini. Kulikuwa na mchochezi mmoja hivi alikuwa Anaitwa Shehe Kapungu Yani ukimsikiliza hutatamani kumwona uraiani just Google uwasikilize maana mahubiri yao yapo mtandaoni. Kwa hili napo upande wa serikalini aisee
 
... yes! Sheikh Ilunga Kapungu; alifariki amezikwa makaburi ya Mwinyi Mkuu Magomeni. Yule naye alikuwa mchochezi sana. Neno AMANI kwao mwiko!
 
Yani anawaambia watu eti ukiona mkiristo muue, ukiona Sista mkatoliki muue mtupe mtaroni, ulimuona Padri muue ili waliomuua shehe Abood Rogo huko Kenya wakome hiyo tabia. Sasa unajiuliza mauaji ya Rogo huko Kenya na kuua mapadri, Masista na wakristo huku Tanzania kuna uhusiano gani? Halafu mbona ni kuhamasisha uvunjifu wa amani? Sasa hao mashehe walieneza chuki huyo Kapungu akajifunze maana sio kama ni mchezo
 
... mshenzi sana yule kiumbe! Nadhani kulikuwa na kamtandao fulani hivi ka masheikh wa aina hiyo (Rogo, Makaburi, Ilunga, Uamsho, etc.) walikuwa wamejipanga katika ukanda huu wa EA ili ku-destabilize jamii. Sio watu wa kuonea huruma.
 
Acheni mamlaka zifanye kazi yake, walioko jela sio hao mashehe tu... mlimpigania sana Babu Seya leo katoka yuko wapi!!
 
... mshenzi sana yule kiumbe! Nadhani kulikuwa na kamtandao fulani hivi ka masheikh wa aina hiyo (Rogo, Makaburi, Ilunga, Uamsho, etc.) walikuwa wamejipanga katika ukanda huu wa EA ili ku-destabilize jamii. Sio watu wa kuonea huruma.
Kabisa mkuu
 
Huyo Rogo ndo alikua roal model.wa hawa Isis aa Msumbiji
 
Yani anawaambia watu eti ukiona mkiristo muue, ukiona Sista mkatoliki muue mtupe mtaroni, ulimuona Padri muue ili waliomuua shehe Abood Rogo huko Kenya wakome hiyo tabia. Sasa unajiuliza mauaji ya Rogo huko Kenya na kuua mapadri, Masista na wakristo huku Tanzania kuna uhusiano gani? Halafu mbona ni kuhamasisha uvunjifu wa amani? Sasa hao mashehe walieneza chuki huyo Kapungu akajifunze maana sio kama ni mchezo
Sasa unastaajabu hilo leo? Hao ndio zao...Dini yao inawahimiza kabisa kuuwa wote wasio waislam.

Wanataka waishi peke yao duniani
 
Back
Top Bottom